Ni kifungu gani cha Katiba ya JMT kina elekeza hivyo?Yani sikuhizi kila nikiona video za mandhari nzuri za Tanzania nikianza kufurahi kichwa changu kinanikumbusha Samia ndio Rais
Haka kabibi kajiuzulu tu tupumzike mauaji na kutekana, Tanzania yetu irudi tulivyoizoea. 2030 inachelewa
Kama nchi ingekuwa inafuata katiba, Samia kamwe asingekuwa Rais kwa mara ya pili, na mimi nisingesema Samia ajiuzulu kwa sababu asingekuwa Rais kwa wakati huo. Kwa hiyo hili swali lako usingeliuliza, maana huu uzi usingekuwepo.Ni kifungu gani cha Katiba ya JMT kina elekeza hivyo?
Hebu elezea katiba inamzuwiaje Samia kuwa rais kwa mara ya piliKama nchi ingekuwa inafuata katiba, Samia kamwe asingekuwa Rais kwa mara ya pili, na mimi nisingesema Samia ajiuzulu kwa sababu asingekuwa Rais kwa wakati huo. Kwa hiyo hili swali lako usingeliuliza, maana huu uzi usingekuwepo.
Tafuta mwenyewe jibu la swali lako
Ajiuzulu kukufurahisha wewe?Kama nchi ingekuwa inafuata katiba, Samia kamwe asingekuwa Rais kwa mara ya pili, na mimi nisingesema Samia ajiuzulu kwa sababu asingekuwa Rais kwa wakati huo. Kwa hiyo hili swali lako usingeliuliza, maana huu uzi usingekuwepo.
Tafuta mwenyewe jibu la swali lako
Urais aliupata Kwa uchaguzi wa ulaghai na mauajiHebu elezea katiba inamzuwiaje Samia kuwa rais kwa mara ya pili
Nyi huwa vichwa majiUrais aliupata Kwa uchaguzi wa ulaghai na mauaji
Vichwa maji vipo Unguja mashetaniNyi huwa vichwa maji
Putin kamuambia akomae hapo hapo na wala asijiuzulu!Yani sikuhizi kila nikiona video za mandhari nzuri za Tanzania nikianza kufurahi kichwa changu kinanikumbusha Samia ndio Rais
Haka kabibi kajiuzulu tu tupumzike mauaji na kutekana, Tanzania yetu irudi tulivyoizoea. 2030 inachelewa