Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imesema hadi sasa hakuna dawa waliyoisajili kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa dengue. Taarifa ya mamlaka hiyo iliyotolewa jana Jumatatu Mei 20, 2019 katika...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tafadhali wahusika wa Soko la Kigamboni hebu chukueni hatua za makusudi kulikarabati Soko hilo kabla Magonjwa ya mlipuko hayajatokea.Soko halina mifereji ya kutoa maji,soko limejaa tope,Bidhaa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu , salaaam Sana hii tv Ni Samsung inch 47 niliipeleka kwa fundi maana ilizima ghafla na baada ya kutengeneza kuja kufunga home nikiwasha inaonyesha hivyo ila upande wa movie Kama nikiweka...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Haya ni Mabasi ya Kenya kama sikosei ingawa yapo yenye usajili wa Tanzania na wana root ya Dar to Nairobi na kwa kenya wana safari kibao ikiwemo Nairobi to Mombasa. Haya mabasi kwa kweli ni veru...
1 Reactions
42 Replies
20K Views
Ni sehemu ya maneno/meseji niliyotumiwa mda huu na namba ya mtu ninaye mdhania ni tapeli! Swali langu,je,hawa watu wamerejea tena kwa gia mpya na ya kasi namna hiyo? Chonde chonde Jeshi letu la...
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Wanangu tutafuteni pesa. Uhuru wa kweli ni Financial freedom, uhuru mwingine wowote ni illusions tuu. Weka mipango yako vizuri,kumbuka kuweka akiba na kuwekeza.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Mara 2. Iringa 3. Tabora 4. Mbeya 5. Ruvuma 6. Tanga 7. Pemba ( Kisiwani Zanzibar ) Nawasilisha.
13 Reactions
168 Replies
29K Views
Ukiwasikiliza watu kutokana na Google kuwafutia Leseni Huawei, wengi wao watakuambia; Simu bila Youtube; hapana aisee!!! Kwanza nina kila sababu ya kuamini talaka hii ya Google kwa Huawei ni...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Naamini wengi wetu tupo kwenye daraja la kujikomboa kutafuta pesa ya kujenga makwetu huku bado tukiwa ndani ya nyumba za wenzetu(tumepanga) Na pia ni kwa wale ambao wapo njiani kuelekea kupanga...
27 Reactions
48 Replies
12K Views
Habarini za mchana ndugu zangu wa JF Niende moja kwa moja kwenye mada pasipo kupoteza wakati, kumekuwa na michezo hii hasa hasa hizi biashara za online kama vile bitclubadvantage, etc...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wasalaam wananzengo. eti jamaa atalipa sh ngapi kwa serikali au kifungo cha muda gani? Picha: mikumi. Muda wa ajali : Saa tano asubuhi Dereva amepona ila kakimbia hajulikani alipo hadi sasa.
3 Reactions
76 Replies
14K Views
Mwanamama Mmoja huko nchini Uingereza amempongeza sana Marehemu Mumewe hadi kumuita ' Shujaa ' hasa kwa Kitendo chake cha ' Kumficha ' kwa miaka 64 kuwa Yeye ( Mumewe ) alikuwa ni Mwana Usalama wa...
1 Reactions
70 Replies
8K Views
Hapa maeneo ya Ngulelo kuna nguzo ya umeme inatoa cheche na kusababishia shoti na cheche kutoka baadhi ya nyumba ila tanesco hawachukui hatua. Hii ni kama ushahidi ili tutakapo dai fidia ya mali...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Wanaitwa SEAHORSE Hawa ni wanyama wasio na uti wamgongo wanaopatikana katika bahari ya pasific Kitaalam anaitwa "Hippokompus" Jina hili ni la kigiriki likimaanisha "hippo" horse na "kompus"...
4 Reactions
70 Replies
9K Views
Ndugu najamaa zangu nahitaji kuhamia Africa kusini Capetown, ila sasa sina paspot, je process zakuipta paspot zinaweza nichukua mda gani mpaka kuipata? Na vipi nikishaipata nakuwa nahitaji kingine...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Naitwa Goodluck naishi Dar es Salaam. Nimezaliwa mkoani Ruvuma wilaya ya Tunduru mama yangu anaitwa Lucy Kitessy. Namtafuta baba yangu mzazi jina Deogratus Rweyendera ni mhaya. Popote alipo...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Msongo wa mawazo kwa kupoteza kazi au kufiwa na mtu wa karibu unaumiza sana. Rafiki yako au ndugu yako akiwa katika hali hii, ukimfariji na pombe kuna hatari ya kuifanya pombe pombe kuwa tegemezi...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimejaribu kulinganisha gharama za ujenzi wa hizi flyovers na gharama ya hasara inayosababishwa na foleni katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi, kwa kweli mzani umepinduka kabisa, kwa kifupi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bongo tunapendwa sana na Mungu Baba Mwenyezi. Kuna vitu alituletea kwa njia za Roho Mtakatifu. Yaani alitubariki kwa utajiri wa vitu vilivyoshuka kimiujiza. Unakumbuka vichwa vya treni? Ghafla tu...
1 Reactions
5 Replies
964 Views
Back
Top Bottom