Space X, Star Link mission Live Lauch, with Falcon 9 Rocket.

Nimewahi kufuatilia safari za hizi kitu za mkoloni ambapo kuna moja ilishindwa a.k.a FALL jamaa mmoja aliyekuwemo ilibidi afanye mawasiliano na walioko space station ya duniani wakamuongoza kujiachia mpaka kufika duniani salama.
 
bab unatudanganya.... u wont survive. Falling from space to earth ... u wont even reach earth as phyisical object.
 
Nitakutafutia ile story kama bado ipo pale YouTube mwanangu.
 
Waache kutuficha teknolojia, ni yetu sote
Huyo jamaa Elon musk alenda kuomba urusi auziwe teknolojia ya maroketi ili akaiboreshe lakini walimkatalia.Akaamua asome vitabu vya roket sayans kisha akaanzisha lab na kufanya innovation za kufa mtu.Anataka kufanya usafir wa roketi uwe kama wa ndege, yetu macho.Teknolojia lazima uisotee ndugu, waafrka hakuna cha maana tunachofanya.
 
Back
Top Bottom