Ulopo
Senior Member
- Mar 13, 2015
- 111
- 83
Naitwa Goodluck naishi Dar es Salaam. Nimezaliwa mkoani Ruvuma wilaya ya Tunduru mama yangu anaitwa Lucy Kitessy.
Namtafuta baba yangu mzazi jina Deogratus Rweyendera ni mhaya. Popote alipo aliniacha na mama nikiwa mdogo sana huko wilayani Tunduru.
Mama alinambia anafanya kazi Kitega Uchumi Dar es Salaam ofisi za Bima ya magari. Shida yangu ni kutaka kumjua.
Na kama alifaliki nijue hata ndugu zangu upande wa baba. Kwa sasa niko Dar es Salaam ukihitaji no kwa mawasiliano ni pm.
Au kama una taarifa zake naomba ni julishe.