mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Tafadhali wahusika wa Soko la Kigamboni hebu chukueni hatua za makusudi kulikarabati Soko hilo kabla Magonjwa ya mlipuko hayajatokea.Soko halina mifereji ya kutoa maji,soko limejaa tope,Bidhaa zinapangwa chini,Kizimba cha taka kimejaa hakika ni hatari kwa afya ya wateja na wafanyabiashara.