TANESCO Arusha mna shida gani? Hii ni ushahidi madhara yakitokea maana tushatoa taarifa na mnapuuzia nyumba zetu zikiungua walai mtalipa

ams

Member
Mar 16, 2013
78
115
Hapa maeneo ya Ngulelo kuna nguzo ya umeme inatoa cheche na kusababishia shoti na cheche kutoka baadhi ya nyumba ila tanesco hawachukui hatua.

Hii ni kama ushahidi ili tutakapo dai fidia ya mali zetu mtulipe maana huu ni uzembe wenu kumbukumbu namba niliopewa na ofisi ni 3500
 
Mkuu wala usiombe hayo mambo yakatokea. Hizo nyumba zenu zinaweza kuungua zote tena kukiwa na watu ndani, na msilipwe hata shilingi. Hatuna taasisi zinazoheshimu sheria mpaka wakulipe kwa uzembe wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom