Mabasi ya Modern Coast

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,526
8,791
Haya ni Mabasi ya Kenya kama sikosei ingawa yapo yenye usajili wa Tanzania na wana root ya Dar to Nairobi na kwa kenya wana safari kibao ikiwemo Nairobi to Mombasa.
Haya mabasi kwa kweli ni veru luxury nimebahatika mara mmbili kuapnda mabasi yao, na kwa kweli Tanzania bado sana wale wakina Dar express ni cha mtoto kwa hawa jamaa.

CHEKINI HIZO SITI ZAO ZILIVYO
normal-interior-modern-coast.jpg


Hiyo ni siti ndani ya basi unaweza lala, sasa njoo kwenye basi zetu kama unaweza kunjua siti kiasi hicho

mash.jpg


Image-courtesy-of-www.Kenyacarbazaar.com_.jpg
 
Halafu hawa jamaa wana systeam ya kukata tiketi online kama kwenye ndege tu, wako vizuri sana halafu basi mmoja unaweza kuta lina bei tofauti yaani kuna siti ina bei tofauti.
 
Mwaka jana niliwahi kupanda moja ya haya mabasi kutoka Dar kwenda Mombasa lakini niliona ni bus la kawaida sana. Labda kama inategemea na bus linalokuwepo siku hiyo.
 
Back
Top Bottom