Type O "Hot"
Population roughly 38% of the world is O +ve and 6% O -ve.
Traits
Confident and Strong-Willed, Proud, Dedicated, Sociable, Energetic, Extroverted, Frank, Realist, Showy, Flighty...
Habari wakuu,
Natafuta hand GPS ya Garmin ya kukodisha kwa muda wa siku 10 ,iwe version yoyote na acurace ya at least 5meters.
Mwenye nayo anicheki inbox tuongee kwa undani zaidi.
Napatikana dar...
Huku mtaani hakuna kitu kinasumbua kama chenji.
Watu hawauzi kisa kakosa chenji au auzunguke wee.
5000 na 10000 ni shida,
Mbadala wa efu kumi mprinti 2000 na noti mpya ya 3000 ziwe nyingi za...
Habari wana Jf
Nahtaji kuongeza daraja la leseni yangu ya udereva,nahtaji class C3,hii niliyonayo ina Class A,A2,B,D,na G tu,sasa nahtaji C3 itanitosha,kwa anaejua naomba maelekezo jinsi ya...
Hali ya kifedha kwenye mfumo wa NSSF si nzuri na inaelekea ufumbuzi umeshindikana kutokana na waliochukua pesa za michango ya wafanyakazi kutozirudisha.
Kitendo cha NSSF kuwa na ukata wa fedha...
Wakuu na wale wenye taaluma ya kufanya uchunguzi tusaidieni. Toka mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1992 kumekuwa na mabunge 4 kama ifuatavyo. 1995-2005 vipindi viwili chini ya Pius Msekwa...
Mwajiriwa mpya hupewa pesa ya kujikimu kwa siku saba tu! Hivi ni kwa nini? Baada ya siku saba kuisha aishi vipi maana mshahara wa kwanza huchukua hadi wiki tatu baada ya kumalizika kwa siku saba hizo!
“ Bwana GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE kama kuna Kitu ambacho Mtume Mohammed SW alikuwa hakitaki na hakipendi ni kutaka Sifa na Ufahari mbele za Watu. Watu wote wanaofuturisha Watu au Kutoa Misaada...
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza
Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari...
Katika zoezi la utoaji pasi mpya za kielektroniki ofisi ya uhamiaji wanaelekeza kuambatanisha vitu kadhaa ikiwemo cheti cha kuzaliwa, kuna mtaalamu mmoja ambaye anahakiki vyeti kwa kuviangalia na...
IBADA kwa tafsiri ya kawaida ni kindi cha mwanadamu kuwa karibu na muumba wake(wasiliana).
Napata tabu sana kujua nini kinatusumbua sisi watu wa karne.Unakuta mtu anaenda ibadani utadhani anaenda...
Wadau naombeni mnijuze hasa kwa wale waliopitia maandiko matakatifu (Bible)
Ikiwa ulioa kwa kufunga ndoa kanisani baada ya hapo mkakosana na kuachana na mke/mme wako
Je, inaruhusiwa kuona na...
Kuna aina 3 za akili ila wengi wetu karibia 98% huwa tunang'ang'ana na aina moja tuu.
Matokeo yake wengi wetu tunashindwa ku-copy na kasi ya maisha yanayobadilika kila kukicha...
Maisha yanasonga.
NMB salary advance inakataa leo May 25, 2019 toka asubuhi. Ukiomba wanakwambia subiri dakika 10.
Matumizi yamekuwa mengi kuliko mshahara nilioupata.
Tatizo ni nini wakuu ...
Ile foleni ya Kimara Ubungo sasa imehamia rasmi Kimara-Mbezi. Magari hayasogei kabisa kwa wale waendao mikoani. Hali imekuwa mbaya sana.
Fikiria unatumia masaa manne kutoka Kimara mpaka Mbezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.