Waungwana nani nani amesikia nilicho sikia??
Kwa mara ya kwanza nilifikiri natoka ndotoni, ila baada ya kuendelea kusikiliza ..... nikajua sioti......
Kuna mtu mwingine amesikia ??? Au bado naota??
Hazina bhana.
Watumishi wa umma tunateseka na kuyumbishwa sana.
Mwanzoni kabisa ilikuwaga mshahara ni kati ya tarehe 29 -30. Tulizoea tukaridhika.
Baadae wakaboresha ikawa tarehe 25 lazima kitu...
Habari zenu Wana JF,
Nilibahatika kutembelea Kigoma miezi michache iliyopita nilitembelea maeneo kama Mwanga Buzebazeba lakini haswa nilitembea sana sehemu inaitwa Ujiji nikajionea haya;
1...
Ninaomba mtu anisaidie kupanga bajeti ya mfanyakazi anayelipwa mshahara wa kima cha chini ambacho ninafahamu ni 350,000/=tsh.wakati mtumishi huyo amepanga chumba mjini na ana mke na mtoto 1.
Wakuu naombeni ushauri mimi ndo mara ya kwanza kwenda mkoa wa Kasskazini kwa machalii wa Arusha
Nipande gari gani zuri la luxury ndugu zangu, hebu nipeni mawazo kwa wale wazoefu
Hatimaye mwali aliyekuwa anasubiriwa kwa hamu kubwa leo jioni ametua ndani ya ukumbi.
Mida ya saa mbili nimefunga zangu kakibanda changu cha Mpesa na kupanda daladala kuelekea kunako mitaa yangu...
POLISI wilayani Nkasi katika mkoa wa Rukwa inamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kirando mwambao mwa Ziwa Tanganyika, Venance Kasolo(17) kwa kosa la kumpa ujauzito...
Habari za muda huu waungwana ni imani yangu kwamba wote ni wazima.
Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.Wahumini wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania...
Shirika la afya duniani WHO, limezindua mkakati mpya unaolenga kupunguza vifo na majeraha yanayotokana na kung’atwa na nyoka, huku likionya kuwa ukosefu wa dawa za kuuwa sumu kunaweza kusababisha...
Umiliki wa ardhi Afrika uliingiliwa na utawala wa kikoloni. Baada ya kupata uhuru nchi nyingi zilishindwa kurudisha ardhi kwa wananchi. Kutokana na misimamo imara ya Baba wa Taifa Tanzania...
Wana jf, hususan wakazi wa MLANDIZI -kibaha karibuni tujadili tarafa hii maarufu Sana Tanzania, ya MLANDIZI, maendeleo yake, vitongoji Vyake na Kata zake
Karibuni
Usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda...
Ndugu wana jamvi salaam!
Ndugu zangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza napenda kwenda moja kwa moja kwenye lengo mahususi la uzi huu kama ifuatavyo
April 27,2019 serikali kupitia...
Nawatakia heri njema waheshimiwa, niwie radhi ninaombeni mwenye kujua link ya mada hio ilio wahi kuletwa hapa jamii forum.
Kisa chenyewe ni kama kesi ya mauwaji ya kijana aliejirusha kwenye...
Nimekuwa nikisafiri na ATCL mara kwa mara. Nimekuwa nakerwa na watangazaji wao wa flights wanavyo litamka jina la Taifa letu.
Wengine Air Tanzenia,
Wengine mkazo sivyo.Wageni wanashangaa nchi...
Benefits of Zircon -Baikrantamoni
Benefits and Uses
Married life or love of a person is controlled by Venus. This stone strengthens the Venus and brings in passion, understanding, romance and...
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Joseph Salun (28) mkazi wa Kijiji cha Mwakwaru Ngalitati katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro amefukua kaburi la Baba yake mzazi aliyezikwa miaka mitatu...
Kwa vyanzo vya nishati tuliyonavyo sizani Kama kuna haja ya kutumia nguvu kubwa kwenye mfumo wa umeme unaosua sua kwa muda mrefu Sasa.
Tuna gesi ya asili, nishati ya jua, tuna upepo lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.