Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Binti mwenye umri wa miaka 16 (jina limehifadhiwa) mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Kashenge iliyoko katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, amelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Nawatakia Waislam wote dunia nzima mfungo mwema wa ramadhani. Tumuombe Mungu atusamehe makosa yetu na tumshukuru pia Mungu kwa Kila Jambo jema
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nnaomba kuuliza, bill ya maji hapa Dar tunawalipa DAWASA au DAWASCO?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukosefu wa ajira ni changamoto ya dunia nzima.Kinachotofautisha kati ya nchi moja hadi nyingine ni ukubwa wa tatizo.Kila binadamu hubanwa na mahitaji ambayo kuyatimiza bila pesa...
19 Reactions
74 Replies
7K Views
Wakuu naombeni msaada wa kujua gharama za kuishi USA au UK,pamoja na vigezo na masharti.Malengo yangu ilikua ni kuishi hizo nchi toka kitambo tatizo lilikua kipato. Nataka nikaishi tu bila...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Jumla ya watuhumiwa 17 wa makosa mbalimbali waliokuwa wamehifadhiwa kwenye ukumbi wa jengo jipya la Mahakama ya Mkoa wa Geita kusubiri mashauri yao kutajwa mahakamani, wametoroka katika mazingira...
3 Reactions
53 Replies
9K Views
Dunia hulizunguka Jua, kadhalika uliposimama leo kama ni kivulini kesho patakua juani na kama ni juani kesho patakuwa kivulini. Wewe uliye kiongozi usimdharau asiye kiongozi, na wewe uliye na kazi...
0 Reactions
4 Replies
898 Views
Wakuu msaada kuna mtu ananitukana kwenye simu na kosa silijui, nataka kumuadabisha
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Heshima Mbele wadau, Ningependa kupata real experience kwa wale ambao wamewahi kuezeka kwa mabati ya geji 30 tofauti ya ya geji 28. Mimi nipo Dodoma, kuna kajumba kangu kamefikia hatua ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Heshima kwa kila mdau.Humu ndo sijawai kukosa jibu. Niliagza mzigo ali express. Nimeambatanisha screenshot ya status. Sikuelewa mzgo umeshikiliwa au la.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fabian Daqaro amewakaribisha wawekezaji katika sekta ya burudani ili kukuza sekta ya Utalii na kusaidia viwanda vya ndani vinavyozalisha vinywaji vikali na vilaini kuweza...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Baada ya kufungia mifuko ya plastiki mifuko ya ilotengenezwa kwa karatasi na nguo imeanza kuchukua nafasi huku wajasi wakiikimbilia fursa ili kuongeza kipato chao . Lakini katika nchi za wenzetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni kwanini tunasema taifa la Israel kuwa ni taifa teule na kukubari hata mabaya inayofanya dhidi ya jamii nyingine kuwa ni sawa. Mbona hatujafuata dini ya Wayahudi kama kweli ni taifa teule...
8 Reactions
85 Replies
13K Views
Tukio la juzi la kuteketea kwa moto bweni la wasichana katika shule ya sekondari mkoani Kilimanjaro sio la kwanza mkoani Kilimanjaro au shule nyingine hapa nchini. Nakumbuka tangu Moto wa shule...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Utaelewa kweli hizi tu kama utahaliwa kutafakari kwa kina ukiwa na mtuzamo neutral ktk kutafakari. 2. Ukiujua ukweli utakuwa huru 3. Ukweli pekee haumuweki huru mtu isipokuwa ule tu alioujua 4...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza mna menu complicated, pili gharama za vifurushi vyenu vina mnyima kabisa mtu kujiunga.Mnauza bundle za internet bei ghali. Angalieni na hali jamani, soon nawahama na tupo wengi. Halafu...
11 Reactions
146 Replies
23K Views
Kama wewe sio mtumishi wa umma Fanya kosa uone moto,vyombo vya dola vinaweza kukushughulikia vibaya mno Lakini kwa watumishi wa umma ni tofauti kama anatuhumiwa na makosa kadha wa kadha...
2 Reactions
5 Replies
918 Views
Baada ya kusuasua kwa muda mrefu, ghafla Serikali imetunga sheria kali kama vile wananchi ndio walikuwa wanaizuia kulinda mazingira! Ukweli ni kwamba kuna sababu mbali na wananchi wa kawaida...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Lipo tatizo kubwa la ajira na ukiangalia idadi ya waku kwa kilomita ya mraba ni ndogo. Wakulima wanazidi kupungua na biashara za kubangaiza zikishamiri, watu wanahitimu wanafanyakazi ambazo...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Back
Top Bottom