Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanza kabisa niseme sooner or later bangi itakuwa legal duniani kote, kama taifa tujitafakari tuwe wa kwanza Africa ku legalize zao hili kibiashara, jimbo moja la marekani limevuna zaidi ya usd 1...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wanaosafiri njia ya Chalinze Tanga au Dar Tanga tunawashauri msitishe safari zenu maana kuna mvua kubwa imesababisha mafuriko makubwa. Nyumba nyingi zimezingirwa na maji na nyingi zimebomoka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Zipo faida nyingi kuoana kabila moja zinazochangia umri wa mtu kuwa mrefu! Kila kabila lina upikaji wake wa chakula, mfano; mwanamke wa kichaga anapompikia ndizi mume wake wa kichaga anajua asili...
18 Reactions
91 Replies
10K Views
Kichwa cha habari chajieleza naomba mwenye ujuzi anisaidie nianze na mtaji kiasi gani, pia kipi cha kuzingatia nilipo ni kijijini ingawa kumechangamka sana
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tafadhali mwenye kunisaidia kupata nyumba ya kupanga Mbeya mjini. 1. Angalau km 2-5 kutoka stendi kuu, 2. Vyumba 2-3, 3. Isiwe na mpangaji mwingine, 4. Iwe na umeme na maji. 5. Uzio au geti
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauliza duka wanalouza bomba za kwa ajili ya umwagiliaji wa matonne , natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
998 Views
habari wapendwa katika Imani nimepitia baadhi ya vitabu ambavyo nimeandikwa kuhusu ndoto, Na vitabu vingi vimeandika samaki maana yake ni watu. na ukiota unavua samaki maana yake unapeleka kondoo...
0 Reactions
3 Replies
14K Views
Chemba ya biashara, viwanda na kilimo( TCCIA) inatarajia kufanya ziara ya kibiashara nchini Italy na Uturuki ambapo Chemba inapenda kuwakaribisha wafanyabiashara walio wanachama na wasio wanachama...
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Katika kutunisha mfuko wa taifa, itafaa kutoza kodi shughuli zote za kifahari ikiwemo HARUSI, Vileo na kutalii ikijumuisha kwenda Hijja, nje ya nchi (kwa imani zote). Hawa wanaoamua kufanya haya...
3 Reactions
90 Replies
8K Views
Dar es Salaam Tuesday 20th Feb 2018 Min 24°C Max 32°C Wednesday 21st Feb 2018 Min 25°C Max 32°C Thursday 22nd Feb 2018 Min 24°C Max 33°C Friday 23rd Feb 2018 Min 26°C Max 33°C
1 Reactions
97 Replies
9K Views
Wadau habari za asubuhi?, jana nimesafiri kwa gari tajwa hapo juu linalofanya safari zake kutoka mwanza-shinyanga-singida hadi arusha. Basi hilo kwa kweli limekuwa na tabia ya kutotii sheria za...
12 Reactions
172 Replies
22K Views
--Miaka 2 mpaka 18, yuko darasani anapambana kupata cheti cha kidato cha nne, --miaka 19 mpaka 24, anaangaika na mahusiano kila anachopata anawaza atumie na demu wake, --miaka 25 mpaka 30...
17 Reactions
94 Replies
9K Views
Ndugu zangu Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu,Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za ziada kwa mtu aliyeagiza gari lake nje hasa kwa Japani.Kuna ndugu yangu ameona gari zuri kalipenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tokea mwaka 2017 kituo cha runinga cha EATV, Mkurugenzi wa Shirika la Haki za Wanawake (HAWA), Joyce Kiria na wadau wengine walikuwa wanaendesha kampeni za ugawaji wa taulo za kike ukiwalenga...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mzuqa! kimsboy yupo sana International Forum mahsus kutetea Irani kwa nguvu zote Utadhan analipwa kufanya hivyo na taifa la ajemi. Ni majuz tu kidogo aliletaga vithread viwili vitatu kwenye...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari wana ndugu. Naitwa Tanganyika Steven,mkazi wa Mwanza. Nina lengo la kuanzisha kituo cha kulea watoto wa mtaani katika eneo langu (ardhi) lililopo Sengerema. Nahitaji msaada wa namna ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Yale matangazo huwa yananigusa sana, huwa yanafika moja kwa moja kwa Jamii tena kwa uhalisia wa hali ya juu. Nani yupo nyuma ya yale matangazo asee Jamaa anayeandaa yale matangazo atambulike...
8 Reactions
67 Replies
6K Views
Manispaa ya wilaya ya Temeke kwasasa inaendeshwa kimaifa kwa watendaji wake kudai rushwa kwa wakazi wa wilaya hii mara kwa mara. Ukishindwa kutoa hiyo rushwa unapelekwa Segerea wiki mbili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
-Kijana mmoja ameamua kujikata uume wake pamoja na kidole chake cha shahada akisema kuwa ameamua kufanya maamuzi hayo ili amtumikie M/mungu. -Amesema ameamua kukata viungo hivyo hususani uume wake...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom