Kwa kuitazama Tanzania ya sasa na Siasa Zake zimEkua na msinyao wa Kitaifa hususani kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Taifa lolote duniani linahitaji Amani, Uongozi Bora , Siasa Safi, na Uzalendo...
Wanabodi
Mlipuko mkubwa sana wa neno la MUNGU unatarajiwa kushika kasi kuanzia leo tarehe 4 mwezi wa 5 hadi 25/5/2019 katika viwanja vya kanisa la waadventista wasabato dodoma kati.
USIPANGWE...
Wadau kama wewe ni mtumiaji mzuri wa google utakuwa megundua hali hii tangu leo usiku zile option za kuamua u serach picha tu au news, videos sasa hazipo tena mfano nimejaribu kuandika neno...
WADAU NAOMBA USHAURI WAPI NITANUNUA VIFAA HIVI VYA STUDIO KWA HAPA DAR ES SALAAM:
1. Shure SM7B Cardioid Dynamic Microphone
2. The Blue Yeti microphone
3.RODE PSA 1 Swivel Mount Studio Microphone...
Mtoto William Maillis mwenye umri wa miaka 11 amehitimu Shahada ya Sanaa katika Chuo Kikuu cha St. Petersburg, Florida Marekani. Alihitimu masomo ya sekondari akiwa na miaka 9. Ameeleza kuwa...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Tanzania na mataifa ya wenzetu , hasa ya magharibi , mashariki etc.
Aisee Tanzania watu ni waongo sana. Haipiti siku lazima mtu adanganye. Utafikiri asipodanganya...
Kwa wale waliosoma mnamo miaka ya 1970s' na kurudi nyuma, watakuwa walikutana na vitabu vya gwiji mmoja wa lugha aliyewahi kuuandika vitabu vingi vya lugha ya kiswahili vilivyokuwa vikitumika...
Mara kadhaa niliwahi kushuhudia watu wengi sana kupata ajira kupitia madereva wa viongozi wa serikali , hasa kipindi cha Bunge pale Dodoma.
Dereva huwa amebeba siri nyingi sana za serikali /nchi...
Kwa anayejua tafadhali msaada kuna watu wana tittle deed za wizara ambazo wanalipia kila mwaka naomba nijue kama zoezi hili linalopigiwa kampeni kama na wao linawahusu ina maana kama linawahusu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akifanyiwa maombi maalum kwa ajili ya kuimarisha ndoa yake.
Unafikiri ni nini kinataka kuikumba ndoa ya mkuu wetu wa mkoa wa DSM.?
CC Zero IQ
Mwekezaji wa kampuni ya usagishaji nafaka ya Monaban Trading & Farming LTD,Philemon Mollel , ambaye ni amewekeza katika kinu cha usagishaji cha NMC kilichochini ya bodi ya nafaka na mazao...
Nakumbuka kipindi cha prof muhongo tulipumzika kidogo na hii kadhia ya kukatika kwa umeme.
Sasa umeme kahama hautabiriki kabisa.Utakatika kila jumapili.Utakatika muda wowote kutwa nzima.Na sasa...
Wadau habari,
Niende moja kwa moja kwenye hoja,hiki kituo pendwa cha television kimekosa ubunifu haswa kwenye ku_host social medias,bora tena mara mia kwenye info zinazohusu burudani n.k,mada...
Pamoja na kuwepo kwa usanii mwingi siku hiz kwenye makanisa mbali mbali lakini ninaamini kuwa yapo majiin/ mapepo na wengine wakiita mashetani
Ninaamini hivyo kwasababu nikiwa mdogo, kulikuwa na...
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kwa lengo la kutambua thamani, utu na umuhimu wa mtoto.
Maadhimisho haya hufanyika kila Juni 16 tangu ilipotangazwa kuwa siku rasmi mwaka 1991 na Jumuiya ya...
Kuna mtu anaenda ikulu kuonana na RAIS akirudi atarudi mwenye furaha Sana atashangilia na kusimulia mtaani mwezi mzima tukio la yeye kuonana na RAIS
Sasa je mtu akienda kuonana na Mungu huko...
Mhe Rais kwa moyo wangu wa dhati kabisa , nakushukuru sana kwa mara ya kwanza kabisa nchini Tz kuliskia na kulishuhudia tendo lile kwa kiwango na mtazamo mkubwa uliowapa hawa...
Habar za Asubui wakuu.
kama kichwa kinavyo sema kwa wale wanao tarajia kuomba mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2019/20 HESLB.Mijamaa ishafungua dirisha la kuombea Mikopo leo 15 juni,2019...
Watu hao wamejeruhiwa katika ajali hiyo inayoelezwa kuwa imesababishwa na mwendokasi wa basi aina ya 'Coaster' walilokuwa wakisafiria
Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Ikomelo wilaya ya Kyela...
Kwa mliotembea au kukaa kwenye hizi manispaa tupeane uzoefu. Binafsi nilipita morogoro wakati naenda Dar, nilipaona hapako vizuri sana ukilinganisha na Iringa.
Mnaopafahamu hapo moro, ni sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.