Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani ubora ni hafifu sana tena sana kwa nini? Mnakwama wapi? Achana na dstv hata king’amuzi vya kenya tu vinawashinda ubora? Mnatuangusha sasa tutawahama
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakati wana tuhamasisha tujiunge katika hi scheme walitupa maneno mazuri sana na kitu kibwa walichokuwa wanatuambia ni kuwa siku yoyote utakapo amua kuchukua pesa zako utapewa bila ya usumbufu...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
TULIOWAHI KUNYANYASWA NA ASKARI POLISI TUKUTANE HAPA. Habari wanaJF. Kama kichwa cha habari kinnavyoelekeza embu tuhadithiane manyanyaso ambayo hawa jamaa wamewahi kutusababishia. BINAFSI NINA...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Prof. Kabudi alipigania sana mawaziri wasitokane na wabunge. Rasimu haikutekelezwa lakini Rais ametekeleza kilio chake. Prof Kabudi si mbunge wa kuchaguliwa. Ameteuliwa. Jimbo lake ni aliyemteuwa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Sasa nipo na amani, bando langu LA WK hadi linabaki,matangazo ya wajinga wa kule nimeyasahau sasa Twitter & JF kunawatu wenye akili wengi hakuna video za kishenzi najiandaa kuitoa Facebook sasa
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hapo serikali inabidi iangalie vizuri. Kama shida ni content kuwa hazina maadili au za kichochezi sheria ielekezwe huko. Kama shida ni kusaka mapato. Iangalie youtube mapato yanapatikanaje ili...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo nimejaribu kufuatilia Instagram, Facebook, WhatsApp na Twitter asilimia kubwa ya Watanzania ni Yatima, nikiwa na maana kuwa Father's Day ya leo wengi ya wazazi wetu wame "REST IN PIECE". Hii...
0 Reactions
6 Replies
788 Views
ASKARI polisi, Konstabo Daniel Mlanda wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, ametoroka kituo chake cha kazi baada ya kutuhumiwa kumbaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Nimepata bahati ya kutembelea ofisi mbalimbali za serikali kwa shughuli mbalimbali na pia maeneo ambapo serikali inapata huduma. Cha kushangaza sana ni kiwango cha uharibu wa mali za umma na...
1 Reactions
2 Replies
872 Views
Habari waungwana. Hili Ni swali ambalo tangu nilifahamu japo si kwa undani Sana nimekuwa nikijiuliza kwamba , Ni kweli gonjwa hili limo nje ya uwezo wa mwanadamu? Kiasi Fulani akili inakataa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ukiwa mfanyabiashara kumkopesha mteja wako wa mda mrefu sio jambo geni, tatzo ni pale anapoanza kupata tamaa, na yawezekana kbsa wakati mnakabidhiana hakua na nia mbaya kbsa ila taratib anaanza...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii ni mada ya swali. Hii mada haina lengo la kuzungumzia hasa msingi wala usabato wenyewe, hii ni mada ya kuuliza swali la mafundisho baadhi ya kisabato. Miaka ile nakua nimekulia katika jamii...
3 Reactions
23 Replies
7K Views
Mkuu wa wilaya ya Same Bi.Rosemary Senyamule akiwapokea washiriki wa miss Arusha 2019 Wakuu wa wilaya kwa Mkoa wa Kilimanjaro wakiwa kwenye Picha ya Pamoja na Warembo. Mkuu wa Wilaya ya Same Bi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Countries You Can Travel to Without Visa From Tanzania African Countries 1. Botswana Visa is not required for a Tanzania passport holder for a maximum of 90 days. 2. Burundi This landlocked...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya maneno mengi kutoka kwa wateja wa king'amuzi cha AZAM Kutokana na ubovu wa huduma zao baada ya kuzimwa kwa channel za FTA siku ya tarehe 15 wamezindua channel mpya ya UTV no 108 ambayo...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Kati ya mambo yanayo nikela katika makampuni ya simu ni kuruhusu sisi watumiaji wa simu za mkononi kupokea msg za matanggazo mbali mbali ata yasiyo tuhusu. Kati ya matangazo ambayo ni kero kubwa...
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Habari wakuu Nimeka chini nikatafakari kwa kina kwanin waziri wa fedha anasema pato la mwananchi limeongezeka kulinganisha na mwaka jana wakati kwa hali ya kawaida pesa mtaani haionekana, na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa Wanafamilia wa JF. Usiku huu nawaomba kama ilivyo desturi yetu tujiandae kwa kutenga muda maalumu kumuombea Rais Dkt John Magufuli. Kiongozi wetu mpendwa anayo majukumu mazito sana ya...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Serikali ya awamu ya tano inasubiri mpaka watu wangapi wafe ili iweze kuchukua hatua stahiki thidi ya dengue, nimepoteza ndugu zangu Watano mpaka sasa kwa huu ugonjwa na jana tu ameumwa jiran...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kila mmoja kasikia kuhusu huu ugonjwa hatari wa ebola kuwa upo hapo jirani Kongo kwa muda sasa na majuzi tumesikia case za huu ugonjwa kuingia uganda. Naomba serikali ilichukulie hili kama jambo...
0 Reactions
3 Replies
536 Views
Back
Top Bottom