Shelus Jr
JF-Expert Member
- Jun 2, 2016
- 270
- 166
Kwa wanaosafiri njia ya Chalinze Tanga au Dar Tanga tunawashauri msitishe safari zenu maana kuna mvua kubwa imesababisha mafuriko makubwa. Nyumba nyingi zimezingirwa na maji na nyingi zimebomoka. Maji yamefunika barabara na yana kasi ya ajabu. Maeneo yaliyo kumbwa na kadhia hiyo ni Chalinze mzee na Msolwa. Magari yamezuiliwa kwa usalama
Hata wasafiri waendao Moro au watokao moro mnashsuriwa pia mchukue tahadhari hiyo.
Hata wasafiri waendao Moro au watokao moro mnashsuriwa pia mchukue tahadhari hiyo.