Kilimo cha bangi: manufaa yake kiuchumi

The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
7,798
2,000
Kwanza kabisa niseme sooner or later bangi itakuwa legal duniani kote, kama taifa tujitafakari tuwe wa kwanza Africa ku legalize zao hili kibiashara, jimbo moja la marekani limevuna zaidi ya usd 1 billion kama kodi itokanayo na biashara tuvune faida yake mapema
IMG_7500.JPG


IMG_7501.JPG
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
41,751
2,000
Siyo kila kinachoruhusiwa sehemu mmoja na kikaenda vizuri basi, sehemu nyingine kitafanikiwa...

Mfano, Marekani wana sehemu inaitwa Las Vegas kuna kila aina ya kamali, lakini bado watu wake wanafanya vizuri na kazi zinaenda...

Huku mmeletewa BET kidogo tu, hata kazi hamtaki kufanya...


Cc: mahondaw
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom