Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tuangalie afya kwanza kabla ya kodi. Kwanini serikali isipige marufuku unywaji wa pombe kama ambavyo inafanya kwenye bangi ,sigara, shisha na madawa mengine ya kulevya ? Yaani ni kama hivyo...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za humu wana javi? Natumai wikendi inaenda vyema. Kwa wapenzi wa bia ya castle milk hii bia mbona haipatikani tena?Ni muda sana toka mwishoni mwa mwezi Nov mwaka jana hii bia imeanza...
3 Reactions
33 Replies
9K Views
habarn wandugu Ngoja niende kwenye mada direct Kumekua na KAZI nyingi zinatangazwa Sana mitandaoni na nyingi zinakua no nje ya nchi, kutokana na uhaba was ajira pamoja na ukosefu was hela watu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadzwa ni mchimbaji wa madini, akiendesha biashara zake katika eneo lenye shughuli za uchimbaji madini la Zenda na anajivunia tabia yake ya kuwatumia wanawake atakavyo. Gazeti la New Zimbabwe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (Nemc), limeongeza wigo wa makali ya katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki kwa kupiga marufuku vifungashio vya kienyeji vinavyotumika...
1 Reactions
113 Replies
28K Views
Wadau naomba tupeane taarifa michuano hii itaonyeshwa na vingamuzi gan nà Chanel ipi. Kwan kuna Azam, startimes, zuku, dstv
1 Reactions
1 Replies
823 Views
Wakuu, sasa litakalo kuwa na liwe. Mimi ni mkazi wa wilaya ya Ubungo. Sasa ni takribani siku ya 11 (wiki 2) hakuna maji wilaya hii from mbezi mwisho mpaka huku msewe, hadi ubungo mabibo Binafsi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Napenda kuwatahadharisha. Kila mtu ni mpigaji hakuna mtu anaweza kufanyia wazo lako kama wewe mwenyewe. Mtu unampa hela ya kwenda kununua mzigo, yeye anafanya ujanja akifika huko anakwambia bei...
18 Reactions
39 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika baadhi ya watu weusi hatuna mazoea ya kujisomea vitabu mbalimbali.Mambo mengi na elimu nyingi tumefichwa kwenye maandishi. Kuna msemo usemao ukitaka kumficha Jambo mtu...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu amani iwe kwenu, Kutokana na kukua kwa tafiti za kisayansi binadamu wamefikia level ya kuchanganya vinasaba vya kiumbe binadamu na wanyama wengine Humanised animal. Ambapo viumbe kama human...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa haraka haraka unaeza fikiri ni Air Turkey au Emirates, hivi hakuna watanzania wazawa wakafanya hilo tangazo basi hata mngemweka LUKAKU au Drogba!kuna tangazo lenu binti analeta kinywaji kwa...
1 Reactions
8 Replies
786 Views
Kwa siku za karibuni ninaona kila kiongozi akisimama lazima atamke neno BLUE PRINT. Nawaombeni mnielemishe Blue Print ina maana gani kwa maendeleo ya Tanzania?.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
*IRINGA YAONGOZA TANZANIA TUZO ZA UWEZESHAJI WA WANANCHI KIUCHUMI* Mkoa wa Iringa umeshika nafasi ya kwanza katika mikoa yote Tanzania bara na kupata tuzo ya Uwezeshaji wananchi kiuchumi...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Kwanini maisha ya watanzania ni mazuri sana kiwastani ukilinganisha na Maisha yawa Kenya, ila ukiangalia bajeti ya Kenya iliosomwa majuzu nikubwa mara mbili ya ile ya Tz yani ukijumlisha bajeti ya...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Jana usiku baada ya kuangalia game Kati Tanzania na misri nilitoka nikaenda dukani kwa mangi kununua vocha , yupo mangi mmoja huwa anakomaa mpaka saa nane usiku huku kitaani kwetu. Baada ya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hawa konyagi hizi alcohol % zao nashindwa kuzielewa au kuna feki hapa. Unakuta wameandika hivi alcohol 35% vol. ,nyingine wameandika 35%ABV sasa hapa ndo nashindwa kuelewa.
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wakuu! Mimi kama kijana na sina kazi. nina mawazo meng ya biashara madogo na makubwa ila tatizo sina mtaji.. Kidato cha nne nilipata division 4 ya 26 hivyo sikuweza kuendelea na masomo...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Buruani Prof Robert Mabele (BOB) kwa wale wakongwe wa Uchumi UDSM na wale madogo wa Ruaha Catholic University (RUCU) watakuwa wanamfahamu. Alifariki siku ya jumanne ya tarehe 06 May 2019 na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mara ya kwanza kufika Dar nikiwa mtoto mdogo nilipatwaa na hisia mchanganyiko. Niliona barabara pana kwa mara ya kwanza, magari mengi,magorofa mengi na taa za barabarani vilinivutia sana. Tatizo...
1 Reactions
2 Replies
830 Views
Ndio raha ya kuzaliwa kwenye nchi ya maziwa na asali
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom