Manispaa ya Temeke Yaendeshwa Kimafia

Manispaa ya Temeke Yaendeshwa Kimafia

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,088
Manispaa ya wilaya ya Temeke kwasasa inaendeshwa kimaifa kwa watendaji wake kudai rushwa kwa wakazi wa wilaya hii mara kwa mara. Ukishindwa kutoa hiyo rushwa unapelekwa Segerea wiki mbili.
Namuomba Waziri wa Tamisemi/Takukuru watupie macho watendaji wa manispaa hii.
 
Umeandika kiujumlajumla sana isee!
Ni idara gani wanaopenda kuomba rushwa tuwafuatilie?

Nenda mbali zaidi mtaje kwa jina staff anayeharibu taswira ya wilaya kwa kuendekeza rushwa ili tumtoe hafai!
 
Ripoti malalamiko yako pale ofisi za PCCB zilizopo karibu na DUCE
 
Umeandika kiujumlajumla sana isee!
Ni idara gani wanaopenda kuomba rushwa tuwafuatilie?

Nenda mbali zaidi mtaje kwa jina staff anayeharibu taswira ya wilaya kwa kuendekeza rushwa ili tumtoe hafai!
Kuna kikosi kinazunguka huku Buza wakijifanya wakaguzi kwenye magereji wakikuta mhusika hayupo wanamchukua mlinzi na kumpeleka kituo cha Polisi changombe na kumweka ndani bila rushwa hawamwachii. Haya matatizo yanafanywa na watendaji walio chini ya Mkurugenzi kwahiyo ni jukumu la manispaa na Mkurugenzi kumaliza tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom