INAWEZEKANA HII INATOKANA NA UGUMU WA MAISHA

Ali Hassani

Member
Oct 30, 2015
96
39
-Kijana mmoja ameamua kujikata uume wake pamoja na kidole chake cha shahada akisema kuwa ameamua kufanya maamuzi hayo ili amtumikie M/mungu.
-Amesema ameamua kukata viungo hivyo hususani uume wake kwa sababu mambo ni mengi.
-Je huyu jamaa kweli ameamua kumtumikia M/mungu au anaenda kinyume na uumbaji wa mungu?
-Vp una maoni gani juu ya uamuzi wake?
 
-Kijana mmoja ameamua kujikata uume wake pamoja na kidole chake cha shahada akisema kuwa ameamua kufanya maamuzi hayo ili amtumikie M/mungu.
-Amesema ameamua kukata viungo hivyo hususani uume wake kwa sababu mambo ni mengi.
-Je huyu jamaa kweli ameamua kumtumikia M/mungu au anaenda kinyume na uumbaji wa mungu?
-Vp una maoni gani juu ya uamuzi wake?View attachment 1127737
Hatari! Inatisha na kusikitisha sana.
 
Kuna shida sehemu.Wataalamu wa saikolojia mpo mijini tu kuzunguka kwenye maredio kuongea mambo ya mahusiano na kuacha wenye mahitaji muhimu kama hawa wakikosa msaada
 
Inasiktisha sana...

Ana matatizo ya akili.... hayupo sawa...

Kwa hiyo kuanzia sasa chooni atakua anachuchuma kwenda haja ndogo...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom