Natafuta Nyumba ya Kupanga Mbeya mjini

Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
1,074
1,608
Tafadhali mwenye kunisaidia kupata nyumba ya kupanga Mbeya mjini. 1. Angalau km 2-5 kutoka stendi kuu, 2. Vyumba 2-3, 3. Isiwe na mpangaji mwingine, 4. Iwe na umeme na maji. 5. Uzio au geti
 
Mkuu wewe si timu JPM...mtafute mwenyekiti wa ccm mbeya mjini atakusaidia kutafuta nyumba#joking
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom