Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akifanyiwa maombi maalum kwa ajili ya kuimarisha ndoa yake. Unafikiri ni nini kinataka kuikumba ndoa ya mkuu wetu wa mkoa wa DSM.? CC Zero IQ
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Mwekezaji wa kampuni ya usagishaji nafaka ya Monaban Trading & Farming LTD,Philemon Mollel , ambaye ni amewekeza katika kinu cha usagishaji cha NMC kilichochini ya bodi ya nafaka na mazao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nakumbuka kipindi cha prof muhongo tulipumzika kidogo na hii kadhia ya kukatika kwa umeme. Sasa umeme kahama hautabiriki kabisa.Utakatika kila jumapili.Utakatika muda wowote kutwa nzima.Na sasa...
0 Reactions
3 Replies
838 Views
Wadau habari, Niende moja kwa moja kwenye hoja,hiki kituo pendwa cha television kimekosa ubunifu haswa kwenye ku_host social medias,bora tena mara mia kwenye info zinazohusu burudani n.k,mada...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Pamoja na kuwepo kwa usanii mwingi siku hiz kwenye makanisa mbali mbali lakini ninaamini kuwa yapo majiin/ mapepo na wengine wakiita mashetani Ninaamini hivyo kwasababu nikiwa mdogo, kulikuwa na...
3 Reactions
126 Replies
18K Views
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kwa lengo la kutambua thamani, utu na umuhimu wa mtoto. Maadhimisho haya hufanyika kila Juni 16 tangu ilipotangazwa kuwa siku rasmi mwaka 1991 na Jumuiya ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mtu anaenda ikulu kuonana na RAIS akirudi atarudi mwenye furaha Sana atashangilia na kusimulia mtaani mwezi mzima tukio la yeye kuonana na RAIS Sasa je mtu akienda kuonana na Mungu huko...
0 Reactions
8 Replies
969 Views
Mhe Rais kwa moyo wangu wa dhati kabisa , nakushukuru sana kwa mara ya kwanza kabisa nchini Tz kuliskia na kulishuhudia tendo lile kwa kiwango na mtazamo mkubwa uliowapa hawa...
2 Reactions
3 Replies
913 Views
Habar za Asubui wakuu. kama kichwa kinavyo sema kwa wale wanao tarajia kuomba mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2019/20 HESLB.Mijamaa ishafungua dirisha la kuombea Mikopo leo 15 juni,2019...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Watu hao wamejeruhiwa katika ajali hiyo inayoelezwa kuwa imesababishwa na mwendokasi wa basi aina ya 'Coaster' walilokuwa wakisafiria Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Ikomelo wilaya ya Kyela...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Kwa mliotembea au kukaa kwenye hizi manispaa tupeane uzoefu. Binafsi nilipita morogoro wakati naenda Dar, nilipaona hapako vizuri sana ukilinganisha na Iringa. Mnaopafahamu hapo moro, ni sehemu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumamosi na hivyo siku ya saba ni Ijumaa. Kuna wanaosema siku ya kwanza ni Jumapili na hivyo siku ya saba ni Jumamosi. Kuna wanaosema siku ya kwanza ni...
1 Reactions
53 Replies
54K Views
JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI 1.Usiamke mapema. 2. Usipange matumizi ya Pesa zako. 3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri. 4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi. 5...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Natanguliza SAMAHANI! Hii siku ya Babaz inaeleweka nakuthaminiwa sana na wale waliolelewa na baba zao tu ila nyie wengine mliolelewa na Mama zenu pekee hamtapenda hata kuisikia kwakuwa mara...
4 Reactions
25 Replies
9K Views
Habarini viongozi Ni kama mara mbili hivi sasa nimekuwa nikishituka kwa kasi sana na kuhisi kama nimepigwa na shoti ya umeme. Je..!! hili hunitokea mimi tu au pia kuna mtu amewah kupatwa na hii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samhan ndugu jamaa na marafiki nlkuwa naomba msaad kwa mtu mwenye ufaham wa baadh ya hizi ndoto aniambie maan ak... Kuota NYOKA MAPAMBANO SAFARI NA KUPAA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tabibu wa minyoo imenibidi nifunguke kuwachana baadhi ya wadada wa umri nlioutaja hapo juu. Ndio tunajua mna hali ngumu na baadhi yenu ni broke kabisa lakini jitahidini kuomba wapenzi wenu pesa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini waheshimiwa. Niende moja kwa moja kwenye mada bila uoga na kupindisha chochote. Kuna hawa baadhi ya watu hasahasa baadhi ya pipo kutoka kanda ya ziwa hasahasa, sijui uwa kinatokea kitu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi mtu aliepewa uraia au kibali cha kuishi Marekani anaweza kuwa deported kwa maagizo tu ya wanasiasa au kuna taratibu za kufuata ili kujiridhisha kuwa mhusika anastahili kuwa deported...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa Lugha nyingi za Kibatu Tanzania neno "Zeru" linamaanisha "eupe" na makabila mengi wamelitumia kwa muda mrefu sana. Ndiyo maana majina kama "Mzeru" "mgona hazeru" "nzeru" "Weru' na mengineyo...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom