Nation Media Group of Kenya (NMGK) inayomiliki magazeti, television, Radio na digital Media katika Nchi za Afrika za Afrika Mashariki na kati imefikia makubaliano ya kuiuza Mwananchi Commuication...
Habari wanajamvi ...!
Pitapita yangu leo nimekutana na tangazo la nauli kutoka Dar es Salaam mpaka Mumbai nchini India kwa USD $ 286 one way na na USD $455 kwa Go and Return.
Kila Rakheri Air...
Kwa vyovyote unaposikia neno pagan unapata picha ya watu fulani wenye roho mbaya waabudu shetani na watu wenye Rohombaya sana.
Lakini kiasili na kiuhalisia upagani ni imani kubwa ndani ya...
Canada’s Barrick Gold (TSX:ABX)(NYSE:GOLD) has been given three more weeks to make a firm offer for the percentage in Africa’s Acacia Mining (LON:ACA) it doesn’t already own.
The Toronto-based...
Nawasalimia wana JF wenzangu.
Leo nawaletea jiji kubwa Africa Mashariki (Dar es Salaam) Mwonekano wake ukiwa angani.
Nitatupia Picha na Video.
Hii itasaidia ndugu zangu wakenya kujua kiasi fulani...
Moja kwa moja kama ifuatavyo:
Nafahamu mimi kua dunia ni duara yaani ni mvilingo kama yai je? Sisi viumbe hai pamoja na makazi tupo ndani ya yai au nnje?
Imeandikwa na
Exalioth: natumia jamiiforus
HEBU TAZAMA HII
Serikali kwa sasa inatumia Billions of money kutoa mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu wanaosomea Kada mbalimbali kupitia HESLB.
Kitu cha kushangaza ni ile wananchi pamoja na...
JICHO LANGU LA UCHAMBUZI, NILIPO KUWA NAMANGA WILAYA YA LONGIDO.
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Friday -14/6/2019
Ngorongoro, Manyara Tanzania
Namanga ni mji wa mpakani (border) baina ya Tanzania na...
Wakati Fulani niliwahi kuwasikia COSOTA wakielekeza kuwa vituo vya utangazaji yaani redio na televisheni vinapaswa kuwalipa wasanii mrahaba wakati wanapocheza nyimbo zao.....aidha ikumbukwe kwamba...
Serengeti National Park serikali sasa ifikirie kuiweka kuwa High End Tourism destination kwa sababu hili ni eneo muhimu sana na la kipekee duniani...bei za kawaida iwe ni kwa ajili ya watalii wa...
Kuna hawa watu ambao wanasema tuma pesa yangu ninayokudai,kodi au chochote kupitia namba hii,,alafu anatumia namba nyingi sana
Mimi najiuliza je? Ni kweli serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa...
WATOTO 49 waishio wilayani hapa katika Mkoa wa Arusha,wenye umri kati ya miaka 10 hadi 17,waliokutwa wakitumikishwa katika mashamba ya vitunguu wakati wa masomo,wamerejeshwa kwenye familia zao...
Uwanja wa Taifa (uhuru) Dar. Ushirika Moshi Vs Sigara 27/3/1994.
Timu ya ushirika Kutoka kushoto waliochuchumaa. Sahau Kambi, Francis Mapunda, Patrick Betwel, Stephen Nyenge, Mussa Janja, Gabriel...
Kwa kweli kilipokuwa kimefika kipindi na Millard Ayo,na sasa hasa anapokuwa hayupo Millard kweli,kabisa hajiwezi kabisa, kwanza hana ueledi mpana wa mambo, pia hajui wapi awe serious ama wapi awe...
Jumamosi hii Juni 15, Azam Tv watazindua chaneli yao mpya namba 108 iitwayo Utv ambayo itakuwa inarusha taarifa ya habari, muziki, matukio nk. Heko kwa AzamTv, tunasubiria local channel sasa.
Allah Anasema, Msiamini Katika dhana, Kwani Dhana ni Dhambi na uwongo Mtupu.
Uhalisia hauko hivyo, Unatakiwa uwatilie mashaka watu wote Cause uhalisia ni kwamba wachache wanajali wewe ni nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.