Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na Bakari Chijumba, Mtwara. TAKUKURU mkoani Mtwara Leo Mei 17,imemfikisha mahakamani aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Masasi,Wilayani Masasi mwaka 2015 Mwanaidi Mtaka,akituhumiwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Ilala inawashikilia watu watatu akiwamo mmiliki wa Kampuni ya Motrax, Chandulal Ladwa ambaye anatuhumiwa kutoa rushwa ya Sh 200,000 kwa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Na Bakari Chijumba, Mtwara. TAKUKURU mkoa wa Mtwara inatarajia kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wawili akiwemo mfanyakazi wa benki ya NMB wilaya ya Nanyumbu Augustino Nziku, kwa makosa ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hapa nawasema wasanii km Ali kiba,Hamisa ,nimewasikia kwenye wasanii hawa kwenye interview wakisema waziwazi. Alikiba anasema hafanyi baadhi ya mambo kisa dini yake inakataa,mfano mavazi n.k...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimesikiliza wimbo mmoja wa profesa J nikakumbuka enzi hizooo! Kwa wale wapenzi wa rap ya kibongo bila shaka mtawakumbuka hard blasters crew(HBC) KUNDI HILI LILIUNDWA NA NIGGER...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Kama kichwa cha habari nifanyaje ill niipate app ya E TV inayopatikana dar Tanzania. Nikijaribu kupitia play store option ya hiyo TV haionekani. Zinazo onekana clouds TV, azam, na nyingine...
1 Reactions
0 Replies
782 Views
Habari zenu? Naomba kupewa makadilio ya kupaka rangi conmix kwa nyumba yenye vyumba vitatu, store, jiko, sebule na dining. Makadilio tu ili niweze kujua najipanga kuanzia wapi. Nyumba ilishapakwa...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
mpaka wahenga washaimba kwamba nyama ya Bata Ni tamu Kuliko ya kuku kwa sababu -kwanza Bata hapendi makuu Wala Hana shida na mtu..ila kuku anajifanyaga Sana -pili Bata anakula vitu natural Sana...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
December 7, 2018 Morogoro, Tanzania Kupitia Kilimo cha kisasa cha Shadidi wakulima wa mpunga mkoani Morogoro maisha yao yabadilika na kuingiza mamilioni ya shilingi ktk kila kaya. Kilimo Shadidi...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
0 Reactions
3 Replies
862 Views
Hapa ni reality ,watoto wengi waliozaliwa km watoto wa kwanza ni wa nje ya ndoa na wengi wao mababa wanasingiziwa. Hii inatokana na harakati nyingi za kutafuta maisha ambapo vijana wengi wanakuwa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania imesema imepata masoko ya mahindi na mchele katika nchi saba na kuwataka wafanyabiashara na wakulima nchini kuchangamkia fursa ya kuuza mazao nje ya nchi. Imesema masoko hayo...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Wanajamvi wezangu naomba kwa anae fahamu Nauli ya kutoka MWANZA hadi MOROGORO/ DUMILA moja kwa moja anijuze... Na mabasi mazuri yanayohusika na mida yake ya kuondoka Tafadhali......
1 Reactions
6 Replies
2K Views
WANANCHI wa mikoa ya Ruvuma na Mbeya wanaoishi kando ya Ziwa Nyasa, wanatarajia kuanza kunufaika na usafiri wa meli ya Mv Mbeya II ambayo ujenzi wake unatarajia kukamilika Agosti, mwaka huu. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Moshi wazee wanakaribia kuzeeka na kufariki. Hiyo Generation inapita hatimaye. Nyumba nyingine tayari zimeanza kuishi wafanyakazi, rombo,machane,marangu,kobosho, moshi yote kwa jumla, wazee...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Bisha ubishavyo ila huo ndyo ukweli hili limejidhihirisha baada ya mshahara wa watumishi wa serikali kuchelewa kuingia kila Uzi humu ilikuwa ni kilio cha mishahara... Kuna Uzi hapa wakuulizia...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
1 Reactions
49 Replies
7K Views
kwa wale wa ruti ya MBEYA -DAR,basi lako kama linapitwa na mabasi mengine njiani,linakosa soko na ilikuwa shida sana kupata abiria,watu tulikuwa tunakaa siti za dirishani ili tuone dereva wetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Wakulima wameshauliwa kutokutazama wala kutumainia aina moja ya Kilimo na badala yake watazame na kulima mazao mengineyo kwa ajili ya chakula na biashara pia. Hayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baba ana wake watatu,katika hawa wake watatu mmoja hajajaliwa kupata mtoto,kwa bahati mbaya sana ikatokea sintofahamu kwa huyu mwanamke ambaye hajajaliwa watoto na mumewe,bibie akaamua kwenda...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom