Air Tanzania: Dar es Salaam - Mumbai (USD 289)

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,851
Reaction score
14,074
Habari wanajamvi ...!
Pitapita yangu leo nimekutana na tangazo la nauli kutoka Dar es Salaam mpaka Mumbai nchini India kwa USD $ 286 one way na na USD $455 kwa Go and Return.
1545288271076.png

tanzania_1500x400.jpg

Kila Rakheri Air Tanzania nakutakia mafanikio mema.
 
Attachments

  • 1545288391276.png
    1545288391276.png
    17.7 KB · Views: 61
Habari wanajamvi ...!
Pitapita yangu leo nimekutana na tangazo la nauli kutoka Dar es Salaam mpaka Mumbai nchini India kwa USD $ 286 one way na na USD $455 kwa Go and Return.
View attachment 972858
tanzania_1500x400.jpg

Kila Rakheri Air Tanzania nakutakia mafanikio mema.
Rakheri = La kheri.

Alafu hili litakuwa tangazo la zamani sana wameshaachana na hiyo route saiv ni Guangzhou (China) kupitia Bangkok (Thailand)
 
Mmhh.. kwa bei hii hizo ndege zitafanyiwa ukaguzi na matengenezo ya kukidhi kiwango? Isijegeuka biashara kichaa.
Cheap sometimes ia expensive, na wateja wenye kujiuliza maswali muhimu wanaweza iepuka hiyo ndege ya bei rahisi kwa masafa marefu.
 
ATC itumie makampuni ya nje yenye uzoefu wa kuandaa matangazo ya biashara ya anga ili kuvutia abiria wa nje.
 
Rakheri = La kheri.

Alafu hili litakuwa tangazo la zamani sana wameshaachana na hiyo route saiv ni Guangzhou (China) kupitia Bangkok (Thailand)
Hawajaachana na hiyo route bali mwanzo walitaka kutumia B 787 badala ya zile air bus ambazo zilichelewa kuletwa, kwa kuwa zimekaribia kuja ndio zitazo tumika route hiyo.
 
That's good.
Sema nlidhani hizo A220 ni za African routes (Harare, Johannesburg etc)
 
Ata mimi nilijua hivyo lakini ilinibidi niingie kwenye website ya Airbus nione kama inaweza kupiga safari direct from Dar to Mumbai nikakuta ina uwezo wa kutembea Km 5,920 na Mumbai to Dar naona approximately 4680 kilometers tu yamkini kweli ikaenda huko.
 
That's good.
Sema nlidhani hizo A220 ni za African routes (Harare, Johannesburg etc)
Flight time from Dar Es Salaam to Guangzhou is 13 hours 3 minutes. Distance from Dar Es Salaam to Guangzhou is approximately 8720 kilometers.
Nafikiri rout hii kweli inaifaa Boeing Dreamliner 787-8
 
Mmhh.. kwa bei hii hizo ndege zitafanyiwa ukaguzi na matengenezo ya kukidhi kiwango? Isijegeuka biashara kichaa.
Cheap sometimes ia expensive, na wateja wenye kujiuliza maswali muhimu wanaweza iepuka hiyo ndege ya bei rahisi kwa masafa marefu.
Ivi unafahamu Dola 286 ni sawa na kiasi gani kwa fedha ya Tanzani tena kwa safari ya kwenda tu?
 
Rakheri = La kheri.

Alafu hili litakuwa tangazo la zamani sana wameshaachana na hiyo route saiv ni Guangzhou (China) kupitia Bangkok (Thailand)
Kwamba wamefeli kabla hata hawajaanza? You aren't serious
 
Back
Top Bottom