Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Daaah haya maisha niliyakataa tangu ningali mtoto ndo maana nikakulia ndani ya umachinga siwazi mshahara nawaza kukuza biashara nakuongeza Wateja nipate kipato zaidi
Mkuu utumishi kwa nchi masikini kama Tanzania ni taabu sana ona watumishi akili yote inawaza mshahara kama umetoka sipati picha siku usipotoka watumishi watakuwa na hali gani
 
Thread za namna hii ndio zinanifanya niwaandalie wanangu mazingira ya kujiajiri zaidi kuliko kuajiriwa! Dah!
Ni kwel mkuu lakini unadhani kila mtu akijiajiri nani atatoa hizi huduma tunazozipata kwa hawa waliojiriwa? Mathalan kweny afya,elimu,n.k lakini pia huyu aliajiriwa naye ni haki yake kupata kile anachostahili hivyo mleta thread tusimchukulie kama mtu asiye na dira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom