Allah Anasema, Msiamini Katika dhana, Kwani Dhana ni Dhambi na uwongo Mtupu.
Uhalisia hauko hivyo, Unatakiwa uwatilie mashaka watu wote Cause uhalisia ni kwamba wachache wanajali wewe ni nani, Wengi wanajali watapa nini katika kuhusiana na wewe
Kitu cha kwanza unachotakiwa kuwajipanga pindi inapobidi kufanya kitu na mtu yoyote basi chukua tahadhari katika kumuamini na fanya naye miamala ambayo ukotayari kupokea matokeo hasi pia
Mfano unakuta na mdada, unajisemea huyu lazima atakuwa malaya tu. Kwa allah hilo ni kosa? Kama mtoto umemuelewa unaweza anza mishe za ndoa.
Zinduka wewe Wengi washaalia mjini.
Huyu lazima atakuwa tapeli. Kwa Allah umezingua, Kibongo bongo hujazingua. Ukitua tu mjini Piga wote yellow card halafu ndio mishe zianze. Ukiona mtu humsomi ubandika nyekundu fasta
Povu Ruksa. Ninahaki ya kuwa na imani yangu na kuwajuza wengine nilipojikwaa