Clouds FM msaidieni Minna Ally

mwakweya70

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
414
106
Kwa kweli kilipokuwa kimefika kipindi na Millard Ayo,na sasa hasa anapokuwa hayupo Millard kweli,kabisa hajiwezi kabisa, kwanza hana ueledi mpana wa mambo, pia hajui wapi awe serious ama wapi awe ki-entertainment zaidi,

kama mnalazimika kuwa naye mpeni fair feedback msifariji ana haribu na nyie mtakuwa kama hamjitambui kuto mkosoa uandishi ni kukosoana ili kuboresha. Mawazo yangu kwa nia njema ya kujenga kama shabiki pia wa kipindi hicho.
 
Kikifika hicho kipindi naona tu bora nizime redio kuliko kusikiliza manyani...
 
jamani mwacheni dada yangu jamani mbona mnataka tuanze kukosa ugali nyumbani kwa ajil yenuu jamani dah msifanye hivyoo sasa [HASHTAG]#ila[/HASHTAG] ana kipaji sema itabidi apunguze kucheka cheka
 
yupo poa sema sauti yake kama ina makelele sana atulie, naona anaanza ku cope taratibu tutamuelewa tuu kama tumeuelewa mziki wa singeli itakua mina ally? acha roho mbaya shee amtoe afu akale wapi?
 
Duh huyu dada naona humu wengi mnamlalamika juu yake, itabidi siku moja nisikilize hicho kipindi.
 
Kwa kweli kilipokuwa kimefika kipindi na Millard Ayo,na sasa hasa anapokuwa hayupo Millard kweli,kabisa hajiwezi kabisa,kwanza hana ueledi mpana wa mambo,pia hajui wapi awe serious ama wapi awe ki entertainment zaidi,kama mnalazimika kuwa naye mpeni fair feedback msifariji ana haribu na nyie mtakuwa kama hamjitambui kuto mkosoa uandishi ni kukosoana ili kuboresha.Mawazo yangu kwa nia njema ya kujenga kama shabiki pia wa kipindi hicho.
Usijali ntalifanyia kazi suala lako.Nakuahid hutamsikia tena kweny kipndi hicho
 
Back
Top Bottom