PICHA: JE,NI KWELI SERIKALI IMESHINDWA KUDHIBITI WIZI HUU.

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
237
500
Kuna hawa watu ambao wanasema tuma pesa yangu ninayokudai,kodi au chochote kupitia namba hii,,alafu anatumia namba nyingi sana
Mimi najiuliza je? Ni kweli serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa watu?, na je wanapata wapi namba za wananchi na kuweza kuwatumia sms hizi za utapeli? Kwanini serikali isichunguze kama hawa wapiga dili wanashirikiana na makampuni haya ya simu mpaka wanatoa namba mfano tigo,voda,Airtel, n.k?
Jambo hili serikali mnaliacha na wananchi wenu wanaibiwa sana.
20190619_103832.jpeg
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
6,714
2,000
Kuna hawa watu ambao wanasema tuma pesa yangu ninayokudai,kodi au chochote kupitia namba hii,,alafu anatumia namba nyingi sana
Mimi najiuliza je? Ni kweli serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa watu?, na je wanapata wapi namba za wananchi na kuweza kuwatumia sms hizi za utapeli? Kwanini serikali isichunguze kama hawa wapiga dili wanashirikiana na makampuni haya ya simu mpaka wanatoa namba mfano tigo,voda,Airtel, n.k?
Jambo hili serikali mnaliacha na wananchi wenu wanaibiwa sana. View attachment 1131402
Amefufuka, alisahau malipo kodi yake.
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
36,635
2,000
Kuna hawa watu ambao wanasema tuma pesa yangu ninayokudai,kodi au chochote kupitia namba hii,,alafu anatumia namba nyingi sana
Mimi najiuliza je? Ni kweli serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa watu?, na je wanapata wapi namba za wananchi na kuweza kuwatumia sms hizi za utapeli? Kwanini serikali isichunguze kama hawa wapiga dili wanashirikiana na makampuni haya ya simu mpaka wanatoa namba mfano tigo,voda,Airtel, n.k?
Jambo hili serikali mnaliacha na wananchi wenu wanaibiwa sana. View attachment 1131402
Hahaha hahaha
 
MANILABHONA

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
409
500
Kuna hawa watu ambao wanasema tuma pesa yangu ninayokudai,kodi au chochote kupitia namba hii,,alafu anatumia namba nyingi sana
Mimi najiuliza je? Ni kweli serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa watu?, na je wanapata wapi namba za wananchi na kuweza kuwatumia sms hizi za utapeli? Kwanini serikali isichunguze kama hawa wapiga dili wanashirikiana na makampuni haya ya simu mpaka wanatoa namba mfano tigo,voda,Airtel, n.k?
Jambo hili serikali mnaliacha na wananchi wenu wanaibiwa sana. View attachment 1131402
Ukiona tatizo linaendelea ujue sirikali, iimeshindikana. Huna sababu ya kuumiza kichwa, mambo mengine yanahitaji mungu tu, hasa wakati huu ambao ni kama serikali iko kanda ya ziwa tu, sehemu nyingine hakuna serikali ya wananchi
 
Top Bottom