Namba za simu, Nabii Burudoza

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,672
6,872
Hbr wanajamvi,
Samahani naombeni namba ya simu ya huyo mchungaji/nabii ambaye huendesha kpnd Channel Ten.
Ahsanteni sana kwa ushirikiano.
 
Kwenye Tv si huwa wanaweka namba zao mkuu!!

Fikicha macho utazame uzuri!
 
Ni dharura imetokea
Muda huu,
Hlf siko nyumban,
Mwenye nazo tafadhali.
 
Sio pepo,
Naombeni namba zake,
Pia jina lake kamili ili nigoogle
 
Namba za huduma ni hizi 0712-112244,piga kwa maombezi na ushauri wa kiroho..Pia karibu ibadani ,Ukonga mazizini siku ya Jmapil ,ibada inaanza saa nne kamili..Pia jnne na Alhamis saa kumi hadi saa 12 .. Shalom
Mkuu kama ni kwa GeorDavie, Im sory sitakuja.
 
Back
Top Bottom