Nimekumbuka masongi ya depo enzi zile mujjibu wa sheria Kama saa hizi tupo uwanja wa damu tumekunja ngumi,wengine wamebeba dunia,wengine wametundika miguu
Mara riafande linasema as weaaaaa
Haya...
KUTOKA JESHI LA POLICE: USALAMA WA MAISHA YAKO.
* Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji...
TRA ili wakupe TIN wanataka mkataba wa fremu au nyumba ulipopangisha biashara yako.Labda niulize kwa ulimwengu wa sasa wa digitali hamuoni kwamba kuna biashara za online ambazo haziitaji pango au...
Hivi punde tu nimenunua vocha ya vodacom tsh 2000 nijiunge kifurushi cha data lakini cha kushangaza wakati najaribu kujiunga nikapata ujumbe kuwa eti sina salio la kutosha ilihali nimeingiza hiyo...
Miaka fulani kuna mzee mmoja alikuwa akifanya kazi taasisi moja ya umma, kama mnavyojua taasisi nyingi za umma ili upate tenda lazima utoe kitu kidogo au ili ulipwe madai yako baada ya kutoa...
RAFIKI ANAWEZA KUWA KIKWAZO CHA WEWE KUFANIKIWA
Unaweza ukawa na kiu ya kufanikiwa, tena sana, ukapambana sana na ukaona kwamba unakwenda kufanikiwa lakini kukatokea mambo fulani yakakufanya...
Kwa ninachokiona Tanzania mfumo wa uongozi katika taasisi ya Afya na tiba na hospital zote nchini zinaongozwa na madaktari au tabibu kwa ngazi za chini..
Hata nilipojalibu kuchungulia wizara ya...
Historia ya dini inaonyesha Mungu kabla hajamuumba mwanadam tayari kulikua na viumbe wengine waliokua wamemuasi Mungu huko Mbinguni.
Hakuna sababu ya wazi inayoelezwa kama ilisababisha hao viumbe...
BAADA ya kusimama kutoa huduma kwa miaka mitano bila kutoa huduma ziwani meli ya Mv Victoria inatarajia kurejea kutoa huduma mwakani. Ukarabati wake umekamilika kwa asilimia 35 na matarajio ya...
Nimekuwa nafikiria hii ishu sana. Hivi ubaguzi wa rangi unatokana hasa na rangi ya mtu au kina kitu kinakuwa kipo nyuma ya pazia.
Mfano, wazungu(weupe) walipofika japan waliita wajapan(wanjano)...
Kama week mbili tatu hivi nlikuwa na safari sehemu mbali mbali.Nlienda Uk kikazi nikaenda USA na kurudi SA kabla sijaingia TZ last week.
Leo nlikuwa maeneo Flan pale Carwash nmepark nliona...
kwema wakuu?
Naomba kuwauliza hasa wale wenzetu wanaoishi ulaya au ambao wamewahi kuishi ulaya na marekani.
kwa maisha yetu wabongo ,Nyama inachukuliwa kama kitoweo cha heshima sana na ndo maana...
RwandAir’s Airbus A330 touched down at Guangzhou Baiyun International Airport at around 10:30p.m local time (4:30p.m Rwandan time) to a big welcome, completing the national carrier’s longest ever...
Mchawi aanguka leo maeneo ya Banana , Dar es salaam
=======
Wasalaam!
Uchawi kumbe upo asee, na kuruka kwa ungo kumbe it's true kabisa.
Katika hali yakushangaza Leo wakazi na wapita njia...
Kwa mara ya kwanza, Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa uvimbe katika mishipa ya damu kwenye ubongo (cerebral aneurysms).
Akizungumza leo Juni 18, wakati...
Polisi mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kujifanya ni maofisa usalama wa Taifa kwa lengo la kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu.
Watu hao ambao ni wakazi wa jijini Dar es...
Ukiwa unasafiri utaona madereva wana washiana taa kuashiria kitu fulani,au unakuta dereva anatoa mkono dirishani halafu ana muonyeshea vidole viwili au vitatu dereva mwenzake aki maanisha mbele...
Wakuu ili kuisadia serikali yetu na polisi pia nimeamua nifungue kampuni ambayo nitaajiri ma inspectors wa motor vehicle,kifupi watareplace hawa matrafic polisi,wao waende kwenye majukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.