Wana Jf kwanini siku hizi waganga vibaka wameongezeka, tatizo ni ugumu wa maisha au ni nini, kila leo napokea sms kwenye simu usemao: “SHEMEJI YULE BABU ALIYE NISAIDIA NIKAPATA PESA ZOTE HIZI...
Huu mwaka sitausahau pale mlimani.
Washikaji zetu ,Christopher mbusule, Lusako ,Ndunguru na wengine wengi tu walipoteza chuo.
Mlimani city ilikuwa jumba la maficho . Tulikimbia tukajificha...
Hello habari
Nimechelewa kidogo kuona topic ya Nyete Madai kuwa ni tapeli...
Lakini ningependa kushauri JF uongozi,
iweke kanuni kuwa kila anayeomba msaada awe Identity Verified,
haitamaliza...
Upinzani ni kama umeshajifia ila cha ajabu bado unaogopwa kiaina, sijajua kwanini hali hii inatokea.
Kama Kinana, Mwigulu na Nape waliweza kuwamudu UKAWA iliyoundwa na akina Dr Slaa, Prof...
Ukitazama TV ya Taifa, TBC, basi unaweza kuikinai muda mfupi. Kwani imegeuka kuwa chombo cha propaganda za kisiasa. Imegeuka kuwa filimbi ya Rais Magufuli na CCM. Yaani imemgeuza Rais Magufuli...
Wakuu, mwenye uelewa wa hili neno mama sitta, maana nimekuwa nilikisia kwenye nyimbo nyingi za kibongo... hata wimbo i
Ukiwa mgumu( sio wimbo wa ma-Love) utasikia neno mama sitta.
Au ndio Msemo...
Maisha hayana fomula wakati mwingine ni nyota ya mtu tu!! Unaweza piga bajet kali, kufanya kazi kama Punda, extra legend bahili na ukawa maskini vile vile!
Kuna ambao wapo wapo na hawajibani Ila...
Naombeni experience kwa wale ambao mliacha kazi kwenda kupiga mishe mtaani kwa bahati mbaya mambo yakawa magumu kuliko mwanzo mlifanyaje? Je mlirudi kuomba msamaha sehemu mlizokuwa mnafanya kazi...
Wadau ,vyuo vitaanza kupokea wanachuo mwaka wa kwanza ,sasa ndg zangu kwa hali ya kawaida na inavyoonekana nchini ni lazima wadogo zetu tuwashauli kozi za kusoma ,je kwa wanafunzi waliosoma hgk je...
Askari wanne na raia mmoja wajeruhiwa vibaya kwa kushambuliwa na chui katika kijiji cha Kabangaja kata ya Bugogwa wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Majeruhi wawili akiwemo askari wa wanyamapori...
Nimemsikiliza kwa umakini wakati akizungumza kwa uchungu kwamba kapoteza watoto wake wawili wakiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya dengue.
Just imagine mtoto mmoja...
Chanzo cha habari hii ni Globalublishers
NI lipi hujasikia? Linaweza kuwa hili! Binti mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Fauzia (jina la mbele lipo), mwenye umri wa miaka 16, mkazi wa Kigogo...
Kwa muda mrefu barabara ya mandela/shimo la udongo yani kuanzia mzunguko wa magari eneo la mzunguko(round about)ya bandari mpaka mataa ya UHASIBU kulikuwa na foleni kubwa sana kwasababu ya maroli...
White Rock Bridge ni Daraja Lililopo Katika Ziwa la White Rock (White Rock Lake) Dallas Texas Kaskazini Mashariki mwa MarekanI, Ziwa hili lina ukubwa wa ekari 1,254.
Inaelezwa kwamba katika...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi nchini Tanzania, Hamad Masauni amesema Jeshi la Polisi tayari limewatambua watu waliohusika katika tukio la shambulio lililo sababisha kifo cha Anifa Mgaya...
Habar wakuu kumekuwa na wimbi kubwa la omba hapa mjini mwanzo ilikuwa wanapita kwenye ma bar lakin sasa wapo kila mahari mpaka vichochoroni.
kuna style wameanzisha yule mgonjwa anakuwa kwenye...
Nation Media Group of Kenya (NMGK) inayomiliki magazeti, television, Radio na digital Media katika Nchi za Afrika za Afrika Mashariki na kati imefikia makubaliano ya kuiuza Mwananchi Commuication...
Habari wanajamvi ...!
Pitapita yangu leo nimekutana na tangazo la nauli kutoka Dar es Salaam mpaka Mumbai nchini India kwa USD $ 286 one way na na USD $455 kwa Go and Return.
Kila Rakheri Air...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.