Azam Tv yarudisha taarifa ya habari kwenye Kisimbuzi chao

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,492
Jumamosi hii Juni 15, Azam Tv watazindua chaneli yao mpya namba 108 iitwayo Utv ambayo itakuwa inarusha taarifa ya habari, muziki, matukio nk. Heko kwa AzamTv, tunasubiria local channel sasa.
e9468a5db602b66dbe33f39d4cfb77de.jpeg
 
Tangu Azam walipositisha Habari kwenye king'amuzi sijawahi kuangalia taarifa ya habari tena, angalau warudi.
Upuuzi wa TBC sitaki kabisa kuusikia.
ITV nao walishapoteza dira!
Star Tv ndiyo kabisaaa u.shuz.i mtupu.
Channel ten sijui hata kama bado wapo.
Unaelewa maana ya super brand
 
Back
Top Bottom