Jela au gereza ni sehemu ambayo mtu yeyote anaweza kuingia, aidha kwa kusingiziwa kosa (hawa ndio wengi), kufanya kosa kwa maksudi mfano kuiba, kuua,n.k,kufanya kosa kwa bahati mbaya mfano kuua...
Na.
Bollen Ngetti
CHADEMA utu wenu uko wapi? Mbona utambulisho wenu ni ushirikiano wakati wa shida lakini mmemkimbia Fulegence Mapunda "Mwanakotide" kwenye shida? Kwa nini Kotide anaugua peke...
kwa hili Utalii tanzania nawapongeza tumewasikia wenyewe wakiwa na shauku ya kuja kutembea tanzania kazi nzuri kwa bodi ya utalii, kazi nzuri kwa waziri wa utalii. hivi ndivyo tunavyotangaza...
WanaJF, niingie moja kwa moja kwny habari, kwamba watanzania tunatakiwa wote kujiandaa kisaikologia na ufahamu kuwa huenda tukapata uhaba mkubwa wa Mafuta ya magari kutokana na vita tarajiwa kati...
BBC swahili ni chombo kikubwa ambacho mtu akitaka kupata habari za uhakika lazima akilini mwako bbc swahili ichukue nafasi.
Lakini cha kushangaza hivi karibuni kumekuwepo makosa mengi ya...
Salamu.
Ndugu zangu wa Upinzani, au waheshimiwa wa upinzani, hua mnatumiaga cement ya aina gani kwenye ujenzi wa nyumba zenu..?!
Utafiti wa jujuu hadi sasa woote nyumba zenu zina expansion joint...
Mkazi wa Mtoni Mtongani jijini Dar es Salaam, Mirajdin Tajdin (32), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dhahabu bila kuwa na kibali...
Jiji la Mwanza limeteuliwa na ATCL kuwa Kituo cha mwisho cha safari za ndege kutoka Tanzania kwenda Ulaya.
Sababu ya kuteuliwa kwa Mwanza haijatolewa lakini uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Jiji...
Pamoja na salamu za upendo kwenu watanzania, Napenda kuwakumbusha kuwa, mnayo haki yenye maamuzi mazito, haki hii IPO ktk ibara ya 5(1) ya Katiba ya Jamhuri yetu, "KUCHAGUA/KUPIGA KURA".
HII NDIO...
Nikweli kwamba watu wengi wamekua na hoja na mawazo tofauti kuhusiana na mayai mkanganyiko huu umekua mkubwa snaa wengi wanauliza kwamba je ni mayai yapi sahihi kitumia either ya kienyeji au...
KISARAWE YAWEKA HISTORIA KONGAMANO LA SIKU MBILI UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI.
Tarehe 20-21/06/2019 katika Ukumbi Wa Minaki Sekondari wananchi zaidi ya 500 kutoka makundi ya wakulima...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tarehe 19 June 20, 2019, Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania ulitoa taarifa katika mitandao ya kijamii “Twitter” kuhusu angalizo la kiusalama “security alert”...
Salam wana Jukwaa.
Naomba msaada wa kujua vyuo bora kwa mafunzo ya Graphics & Design.
Nimeambiwa upande wa Kenya wapo vizuri Zaidi, so nikipata majina ya vyuo vya huko nitashukuru sana.
Lakini...
Wakuu habari.
Kwanza nitoe pongeze kwa hatua hii ya ukataji ticket kwa njia ya mtandao, hii kelele ilikuwa ikipigwa tangu siku nyingi sana, lakini halikuwahi kuweza kutekelezeka, leo katika pita...
“ Kila Mwezi Wanawake Milioni 13 nchini Tanzania wanapata Hedhi “ Mbunge Catherine Ruge.
Je taarifa hii ina mantiki yoyote Kibiashara au labda katika Kumuondolea Mwanamke mzigo wa Kununua Taulo...
Eti ndugu; Kumbe anaehonga Vizuri, na anaetoa sadaka na zawadi wote wanafanya kazi moja?
Kama siyo; Kwanini Mijitu inayohonga sana ndiyo huwa inabarikiwa zaidi?
yaani wale Tunaochunwa kwelikweli...
Ukiachilia mbali kusuasua kwa serikali kuajiri wahitimu wa vyuo kikuu, moja ya changamoto ya ajira ni wazee kuziba nafasi za kazi.
Unakuta kibabu cha miaka sitini kimedhoofu hakitaki kubanduka...
Aliyeuawa ni Leonard Lihumba(52) Askari wa Jeshi la Wananchi(JWTZ), katika tukio hilo ameporwa pikipiki aliyokuwa akitembelea
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Wilbroad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.