Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali imelieleza Bunge kuwa vipimo kwa ajili ya Homa ya Dengue vitatolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya umma wakati huu wa mlipuko. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naweza kupata wapi hio bidhaa hapo juu? Nasikia inasaidia kwa wenye pressure
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kuna haja ya kuwa na hiyo kitu inaitwa opera news kama una jamii forum? Maana habari zote za huko zinatoka jamii forum.
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Naomba ufafanuzi kwa wajuzi masuala ya ardhi hasa kuhusu sheria zake na umiliki. Tumeshuhudia RC Makonda akigawa ardhi kwanza Kwa timu ya Yanga na baadaye kwa TFF. Sidhani kama ni maeneo yake...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Mkazi wa Kijiji Cha Igagala Wilaya ya Mpanda, Juma Sadi (50) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ya chandarua kwa madai kuwa dawa za kienyeji alizokunywa kumzuia asife mapema zilikwisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dalili Za Kansa Ugonjwa wa kansa una ishara nyingi ambazo hutegemea zaidi kansa hiyo ipo kwenye sehemu gani ya mwili, imekwisha enea kwa dalil za melanomakiwango gani na ukubwa wa uvimbe wa...
2 Reactions
19 Replies
10K Views
Mamia ya wafanyabiashara wa Maduka katika eneo la Ranger Safari,jijini Arusha wamefunga maduka yao na kuandamana ofisi ya Mkurugenzi wa jiji la Arusha kushinikiza kuondolewa kwa Machinga...
5 Reactions
83 Replies
12K Views
Greetings Sons and Daughters of the might God. Happy Sabbath to you all. I will be attending Sabath school at Arusha Central Church. Tell us where you are now Tell us where will you be attending...
1 Reactions
0 Replies
534 Views
Nimekuwa nikifuatilia sana mijadala mbalimbali, hasa ihusuyo mapenzi. Nikagundua Na kutambua kuna shida kubwa sana pande zote mbili. Na matatizo Haya yasipotafutiwa ufumbuzi basi migogoro...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
wakuu habari zenu.kwa wale mliofanikiwa kutuma uhakiki wa vyeti RITA.mimi nna kama week 2 nmetuma vyeti.lkn cha ajabu nkingia kwenye account yangu inaandka no record found ila wakat natuma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
https://allafrica.com/stories/201906190076.html TanzaniaEast AfricaBusinessMining Tweet Share Photo: Pixabay By James Kamala TANZANIA set to become the first producer of graphite in East African...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wananzengo naomba kuuliza hivi hizi waziitazo dawa za kuongeza makalio ambazo ki ukweli insta karibu asilimia kubwa wanazitangaza kwa sasa zinazidi kuongezeka je ni kweli zinafanya kazi? Na kama...
4 Reactions
129 Replies
23K Views
Mimi nikimtongoza mwanamke na akakubali bila 'zungushana' zisizo na maana, kwa kawaida kabisa nawaza au naona haya akilini. 1, ... 2, Au kugawa Papa ni tabia yake. 3, Hapana, huyu hana tabia...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wadau naomba mnisaidie mambo haya,Kenya kuna vyama vingapi vya siasa? Je ni kweli Kenya hakuna chombo kama Sumatra bei za usafiri wenye chombo ndiyo waamuzi?,hiki kinachozungumzwa kati mh...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Mkazi wa Kata ya Mwaisela wilayani Nzega, Sada Abdallah, anatuhumiwa kumuua mume wake kwa kumpiga na kisha kumsukuma na kuanguka, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa polisi Mkoa wa Tabora...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Wataalamu wanasema kwa kawaida bin Adam wengi tunaota ndoto 3 hadi 5 kwa usiku mmoja. Mimi nimejijengea utaratibu wa kutafakari na kuandika ndoto zinazoota pale ninapoona zina uzito fulani...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Mmiliki wa Gazeti maarufu la Mtanzania ndugu R.A,kaichangia timu ya Yanga mil 230,wakati huo huo wafanyakazi wake zaidi ya miezi 8,hawajalipwa hata senti tano ya mishahara.Watu wanajitutumua,kwa...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakati Bunge likijiandaa na ukusanyaji wa maoni ya wadau katika mabadiliko ya Sheria ya NGOs (The Non-Governmental Organization Act), baadhi ya Wabunge wameshindwa kujificha kimaadili na kukubali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
LA MIFUKO YA RAMBO LIMEISHA SERIKALI naipongeza sana. Sasa NAWAOMBENI Serikali ILIANGALIE SUALA LA MAWIGI hayaozi hata baada ya muda mrefu[emoji2985][emoji2985][emoji2985]
26 Reactions
158 Replies
12K Views
TIGO, Customer Care hawana majibu, sjui tufanyeje kila mara sms za kubeti, wengine Ma shehe , Manabii, Askofu, na sisi ambao hatuna mpango wa kubeti na wengine kwa imani yao ni dhambi kubet...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom