Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa kipindi cha hivi karibuni imezuka tabia ya watu kuongea sana misibani, kiasi kwa kwamba misiba imegeuka uwanja wa siasa. Watu wanaongea kiasi kwamba hata viongozi wa dini wanakosa muda wa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam kwenu wakuu. Natoa tahadhari sana tunapotaka kuegesha magari tuweke sehemu iliyo salama wandugu Hivi punde tu kuna jamaa aliegesha gari aina ya Prado maeneo ya Kariakoo karibu na stendi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Bunge la Jumuiya ya Arusha Mashariki (EALA)limewasilisha Makadirio ya bajeti ya mwaka wa fedha 2019/20 kiasi cha dola za kimarekani sh, Milioni 111.45 0529 huku asilimia 52 zikiwa ni fedha za...
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Bado ninafasi kubwa yakuja kuwa rais wa JMT, hata nikikosa nitahakikisha namshauri rais kwa udi na uvumba upelekwe mswada wa kubadili umri wa kustaafu. watumishi wote taasisi na mashirika ya umma...
7 Reactions
98 Replies
9K Views
Kwa kweli nashindwa kuelewa intension ya viongozi wetu kwa watanzania ni nini hasa?. Watu wanatoa security alert mwingine anajitokeza hadharani na kuongea simple simple tu. Mh magufuli baba yetu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Je, Ni Sawa Kila Mara Mikoa Na Sehemu Mbali Mbali Kuongezwa ? Mfano: Nilimaliza STD VII 1993. Tulikuwa Na Mikoa 20 Lakini Hivi Leo, 2019, Tuna Mikoa 29! Halafu Bado Tunalalamika Nchi Kuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
BARAZANI Waingereza watacheka baadaye watalia na Boris Na Ahmed Rajab HAPA ndipo demokrasia ya Uingereza ilipofika: kwamba safari hii waziri mkuu wa taifa zima la wakaazi wasiopungua milioni 66...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna hisia mbalimbali zinazoathiri maisha ya binadamu. Hisia hizi zipo kiasili na zinaathiri mfumo mzima wa maisha.Mtaaalamu Gill Hasson anaelezea umuhimu wa kuzigawa hisia hizi katika makundi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana if, Ugonjwa huu unaenszwa na mb mpenda usafi, mbu huyu hakai sehemu yenye harufu mbaya, mbu huyu ana tabia kama za kipepeo uzalia kwenye maua ambayo yameechanua na kuacha nafasi ya kutuama...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
kijana mmoja wa kiume wa huko Kitangari mwenye umri wa miaka 33 amejikata uume pamoja na kidole (cha shahada) ili kumuondolea mambo mengi na kumtumikia Mungu. HABARI KAMILI ITAZAME VIDEO. Kijana...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu habari za jioni. Natarajia kusafiri by self drive kutoka arusha kuelekea Morogoro. Nilikua nauliza njia ipi ni fupi na safe zaidi.. either via same Mombo Segera Chalinze au via Babati...
1 Reactions
27 Replies
11K Views
Wadau, Naombeni kufahamishwa aina ya kiapo ambacho HAKIKA kiapo hicho ukikiuka utapatwa na MATATIZO MAKUBWA SANA. Kiapo kama mfano cha wafuasi wa Freemason, na jumuiya mbalimbali za siri...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Wanajamvi habari zenu kwa ujumla. Mara baada ya salamu nielekee moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Tumeshuhudia wakuu wa mikoa na hata wilaya baadhi kutoa maeneo kwa jumuiya na taasisi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hili ni angalizo tu kwa wazabuni wenye tabia ya kuzidisha bei maradufu kwenye oda za serikali kaeni mkao wa kusikilizia. Hii inahusisha wafanyabiashara na maafisa ugavi.....kama uliwahi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kweli angalau vichwa vyake view poa isiwe kama vya hawa ndugu zetu vinatisha mtoto akiona anaeza kulia….basi TRL tuleteeni vichwa vile viko poa iwe kama bullet trains za Japan huko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naamini mfumo wa Gulap uliotumika na Serikali ya Urusi unaweza kuboreshwa na kisha ukatumika. The Gulap au Soviet Labour Camp ulisaidia kwa kiwango kikubwa kuwashughulikia Wapinga maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Ukiangalia mkoa wa Kagera utagundua ramani yake haijakaa vizuri. Kuna umuhimu wa kugawa kuwe na mikoa miwili. Mkoa wa Chato na mkoa wa Bukoba. Naleta pendekezo mezani.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SHIRIKA la Maendeleo la Taifa (NDC) limesambaza jumla ya matrekta 442 yanayotolewa kwa mkopo nafuu katika maeneo mbalimbali nchini, ukiwamo mkoa wa Dodoma. Akizungumza baada ya kumkabidhi Spika wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom