Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inakuaje Kijana unamaliza chuo unakaa mtaani miaka minne hujapata ajira wakati kuna watumishi wa umma wamezeekea ofisini na bado wanadunda Karibu katika kila idara wapo watumishi ambao kiukweli...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wana JF, Wakazi na Madereva wa Dar es Salaam kama heading ilivyoeleza hapo juu, ni yepi matumizi ya njia tano kwenye barabara ya kutokea Morocco mpaka victoria-Makumbusho. Magari...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Hivi huwa unajisikiaje kuona rafiki yako anatumia mate kuhesabu pesa.... lakini wewe unatumia mate kama kilainishi[emoji51] Ila sio mbaya ni vile hiyo pesa ya kuhesabu hatuna.. Mie nimewaza tu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
June 17, 2019 Dar-es-Salaam, Tanzania Thank you to the Honorable Minister of State in the Prime Minister’s Office, Angellah Kairuki, for initiating this dialogue and to the American Chamber of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Train toka Tabora-Dar imepata ajali mjini dodoma kabla ya kuingia stesheni. Imegonga Lorry usiku na mabehewa matatu ya third class yamepinduka majeruhi ni wengi mno Askari polisi na wanajeshi...
1 Reactions
65 Replies
11K Views
Kama bado kuna watu wanaibiwa na hawa watu basis badiliken... SMS zao zina mfano huu "From: Regina Wilson Date: Wed, Jun 19, 2019, 11:35 Subject: MAY THE PEACE OF THE LORD BE WITH YOU. To: Dismas...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuuu hbr za usiku huu polen na uchovu wa majukumu ya kila siku ya kujitafutia riziki.Moja kwa moja pasipo kupoteza muda nijikite katika mada husika. Ni kwamba nina mdogo wangu jinsia KE mtoto wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mara baada ya kutuma Application NIDA, huwa wanatoa Namba za utambulisho (NIN) ila kuchapisha kitambulisho inachukua muda mrefu sana zaidi ya miezi 6. Je wananchi wanaweza kudownload ID draft kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
Mzuqa! Beba kila mara kwenye begi lako kibaraghashia marker pen ama rangi nyeusi ya kiwi ama ile skafu ya waarabu hii kwa wanaume. Kwa wanawake Beba ushungi ama Hijab. Kwasababu wakivamia kwenye...
34 Reactions
133 Replies
11K Views
Yapata muda zaidi ya mwaka sasa,ZAHANATI YA MAHENGE Inayopatikana mkoa iringa, wilaya kilolo, kata ya mahenge, kijiji cha mahenge hakuna dawa yaani hata panadol unaambiwa kanunue, je kuna umuhimu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wote! napenda niliemishwe njia halali ya kusafiri na tv au friji ulionunua zanzibar kwa ajili ya matumizi dsm, maana naambiwa ushuru ni mkubwa hasa bandari ya dsm. ni hayo tu kwa leo...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habar hapo Sku ya leo nipo musoma katika pirika za hapa na pale, ila kwa udogo wa hii sehemu nimekua so bored kwani sioni hata sehem ya kwenda ku enjoy na kusogeza mda Hivyo...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Hawa wanandoa wamejaliwa mtoto wa kwanza wakiwa na miaka 59. Wamejaribu kupata mtoto kwa miaka 38. Kwa Mungu hakuna linaloshindikakana. Baada ya mama kujifungua salama wakiwa hospitali...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mipango miji ya DSM (na sehemu nyingine za TZ) iwe updated ili kureflect population growth, population density, land use changes na sometimes abandonment of old government policies. Unaweza kuta...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF nilikua najiuliza hivi hii mikakati ya kunyanyua kilimo wakati Halmashauri nyingi hata matrekita ya kilimo hawana ili kuwakodisha wakulima wadogo wadogo tutafika kweli? Inatakiwa angalau...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Campaign kubwa ya Kitaifa ya Cassava for life yazinduliwa Kilindi Mkoani Tanga. Naibu wa Waziri wa Kilimo Mh Omary Mgumba amezindua kampeni kubwa sana Nchini ya Cassava for life Kilindi Mkoani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwako Waziri wa Madini Mheshimiwa, Dotto Biteko Huku Kakola. Kwenye eneo la Namba Mbili ambalo hivi karibuni umelifunguwa Na kuwaruhusu wachimbaji wadogowadogo kujitafutia Ridhiki. Mheshimiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Geita wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa mahojiano kwa tuhuma za kuwafanyia makadirio ya juu...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Back
Top Bottom