Sumatra kuanza biashara ya ukataji ticketi wa mabasi kwa njia ya mtandao, ni hatua nzuri, ila ombi kwa Mh Rais, chonde tusiue ajira. hata kama...

RobyMi

JF-Expert Member
Mar 4, 2012
848
862
Wakuu habari.

Kwanza nitoe pongeze kwa hatua hii ya ukataji ticket kwa njia ya mtandao, hii kelele ilikuwa ikipigwa tangu siku nyingi sana, lakini halikuwahi kuweza kutekelezeka, leo katika pita pita zangu nikakutana na barua kutoka Sumatra ya kuwa kesho 21th imepanga ukutana na wamiliki wa mabasi kwa ajili ya kuwapa elimu na kufafanua kuhusu mfumo mpya wa ukataji tiket ya mabasi kw mabasa marefu.

Pamoja na jithada zote, ila hili limenifanya nijiulize maswali haya.
  1. Why a monopoly system .?
  2. Kwa nini wamiliki wa mabasi wasiache wawe na mifumo yao kama lengo ni ukusanyaji wa mapato, wamiliki watatuma moja kwa moja kwenda mfumo wa EFD.
  3. Fursa nyingi za kazi zitazalishwa endapo hakutakuwa na mfumo mmoja wa mabasi.
  4. Hakutakuwa na ushindani wa kibiashara sababu mmiliki wa mabasi atakuwa ni mmoja tu ( GoV ) na wamiliki ni ma agent tu .
  5. Gharama za ukataji ticketi zitakuaje .? Je zitabaki kama jinsi zilivyo au zitaongezeka .? Nani ataingia gharama za uendeshaji wa mfumo wa serikali .?
  6. Vip wamiliki wa mabasi fedha zao watakuwa wanapataje .? Zitaingia zote kwa account moja then baadae ndo zihamishiwe kwao ( Baada ya mda gani .? Je wataweza kuendesha biashara namna hii.?) au mtu utakuwa ukilipia fedha inaenda moja kwa moja kwa mmiliki .?
  7. Mfumo ni mmoja, vipi siku ikitokea umepiga chini ( Ref to BIMA, NSSF, BANK Systems etc ), hata kama ni kwa masaa machache tu inamaana mabasi nchi nzima hayataweza kusafiri .?
  8. Huwezi kuzuia ulipaji wa ticket kwa fedha taslimu, kwa kuwa na mfumo mmoja wa ukataji ticket
  9. Vip kwa wale ambao tayari walishakuwa na mifumo yao ya ukataji ticket kwa njia ya mtandao.? Inamaana itawalazimu kuachana na mifumo yao na kutumia mfumo mmoja. Tukumbuke hawa walisha invest fedha nyingi kununua mifumo, pamoja na vifaa vya kufanyia kazi. Huku sio kuua ajira na kurudisha maendeleo nyuma .? ( Mfano DARLUX, SHABIBY, )
  10. Kuna makampuni yanafanya safari za mpaka nje ya nchi na wana mifumo yao, inamaana itawabidi waachane na mifumo yao na kutumia mfumo mmoja tu .?
  11. Kwa nini wao Wizara wasiwe na mfumo wao ambao utatumiwa na mifumo binafsi ya mabasi kuwapa repoti zao wanazokusanya kila siku.
  12. Kama haiwezekani kuwa na mfumo mmoja, basi kuwe na mifumo hata 10 - 15 ambayo itajulikana na kila mtu kwa ajili ya ukataji tiketi. atleast kidogo kutakuwa na ushindani wa kibiashara.
  13. Kumbukumbu zinatuambiwa monopoly system siku zote huwa zinashindwa, rejea VTS ya Sumatra mpaka umeshtakiwa kwa Rais, UDART na ticket zao, TCU na mfumo wao mmoja ( Mpaka JPM akaamua kila chuo kiwe na mfumo wake ), BIMA mfumo wao kila siku unapiga chini, nshawahi kukaa hospital bila kutibiwa more than 10 hours sababu mfumo wa BIMA ulikuwa haufanyi kazi.

Ningeomba serikali ya mzee wetu iliangalie tena swali hili kwa jicho lingine, wadau tunafurahi huduma kuboreshwa, lakini zisifanywe kwa kukandamiza biashara za watu, au kwa dhumuni la kupotezea watu ajira, wadau wote washirikishwe na faida na hasara ya pande zote mbili ziangaliwe kabla ya kuanza rasmi kwa ukataji ticket kwa njia ya mtandao.

Sumatra haikutakiwa kuwa na mfumo wa mabasi, bali kusimamia kila kampuni ya basi kuwa na mfumo wa mabasi unaokidhi vinavyohitajika na TRA .!

Attachments

  • sumatra.jpeg
    sumatra.jpeg
    31.4 KB · Views: 39

  13. Kumbukumbu zinatuambiwa monopoly system siku zote huwa zinashindwa, rejea UDART na ticket zao, TCU na mfumo wao mmoja ( Mpaka JPM akaamua kila chuo kiwe na mfumo wake ), BIMA mfumo wao kila siku unapiga chini, nshawahi kukaa hospital bila kutibiwa more than 10 hours sababu mfumo wa BIMA ulikuwa haufanyi kazi.

Ningeomba serikali ya mzee wetu iliangalie tena swali hili kwa jicho lingine, wadau tunafurahi huduma kuboreshwa, lakini zisifanywe kwa kukandamiza biashara za watu, au kwa dhumuni la kupotezea watu ajira, wadau wote washirikishwe na faida na hasara ya pande zote mbili ziangaliwe kabla ya kuanza rasmi kwa ukataji ticket kwa njia ya mtandao.

View attachment 1132897
Afya ya sekta binafsi inazidi kudorora!
 
Kua mpole Mkuu,siumesema wanawaita wawape elimu,haya maswali wapelekee jamaa kwenye kikao kama watakua hwajayaongelea. Hata hivyo naona ni bora uhuni ni mwingi sana kwa wakata tiketi,baadhi yao ni wezi sana. Tusipogope mabadiriko yanaweza kua na neema kwa wengi,wakiumia wachache sio mbaya.
 
Siogopi, bali najaribu kuangalia kama busara na maarifa yametumika kuwa na mfumo Monopoly badala ya kuachia fursa na wao kusamamia sheria kama jinsi wanavyotakiwa kufanya
 
Mimi nadhani muda wa wao kutoa elimu ukifika peleka haya maswali Mkuu,ila wakata tiketi baadhi siwapendi washanipiga sana,harafu unakuta upo kwenye mazingira ambayo hauna namna inabidi ukubali kupigwa tu.
 
Ndo maana nikasema sijakataa kuwa na mfumo wa ukataji ticket, na ni kweli utaondoa dhuluma nyingi sana.
Ninachopingana nacho mimi ni Sumatra kuwa na huo mfumo, wakati hii ilikuwa iwe fursa kwa wananchi na wafanyabiasha wengi tu.
 
Wakuu habari.

Kwanza nitoe pongeze kwa hatua hii ya ukataji ticket kwa njia ya mtandao, hii kelele ilikuwa ikipigwa tangu siku nyingi sana, lakini halikuwahi kuweza kutekelezeka, leo katika pita pita zangu nikakutana na barua kutoka Sumatra ya kuwa kesho 21th imepanga ukutana na wamiliki wa mabasi kwa ajili ya kuwapa elimu na kufafanua kuhusu mfumo mpya wa ukataji tiket ya mabasi kw mabasa marefu.

Pamoja na jithada zote, ila hili limenifanya nijiulize maswali haya.
  1. Why a monopoly system .?
  2. Kwa nini wamiliki wa mabasi wasiache wawe na mifumo yao kama lengo ni ukusanyaji wa mapato, wamiliki watatuma moja kwa moja kwenda mfumo wa EFD.
  3. Fursa nyingi za kazi zitazalishwa endapo hakutakuwa na mfumo mmoja wa mabasi.
  4. Hakutakuwa na ushindani wa kibiashara sababu mmiliki wa mabasi atakuwa ni mmoja tu ( GoV ) na wamiliki ni ma agent tu .
  5. Gharama za ukataji ticketi zitakuaje .? Je zitabaki kama jinsi zilivyo au zitaongezeka .? Nani ataingia gharama za uendeshaji wa mfumo wa serikali .?
  6. Vip wamiliki wa mabasi fedha zao watakuwa wanapataje .? Zitaingia zote kwa account moja then baadae ndo zihamishiwe kwao ( Baada ya mda gani .? Je wataweza kuendesha biashara namna hii.?) au mtu utakuwa ukilipia fedha inaenda moja kwa moja kwa mmiliki .?
  7. Mfumo ni mmoja, vipi siku ikitokea umepiga chini ( Ref to BIMA, NSSF, BANK Systems etc ), hata kama ni kwa masaa machache tu inamaana mabasi nchi nzima hayataweza kusafiri .?
  8. Huwezi kuzuia ulipaji wa ticket kwa fedha taslimu, kwa kuwa na mfumo mmoja wa ukataji ticket
  9. Vip kwa wale ambao tayari walishakuwa na mifumo yao ya ukataji ticket kwa njia ya mtandao.? Inamaana itawalazimu kuachana na mifumo yao na kutumia mfumo mmoja. Tukumbuke hawa walisha invest fedha nyingi kununua mifumo, pamoja na vifaa vya kufanyia kazi. Huku sio kuua ajira na kurudisha maendeleo nyuma .? ( Mfano DARLUX, SHABIBY, )
  10. Kuna makampuni yanafanya safari za mpaka nje ya nchi na wana mifumo yao, inamaana itawabidi waachane na mifumo yao na kutumia mfumo mmoja tu .?
  11. Kwa nini wao Wizara wasiwe na mfumo wao ambao utatumiwa na mifumo binafsi ya mabasi kuwapa repoti zao wanazokusanya kila siku.
  12. Kama haiwezekani kuwa na mfumo mmoja, basi kuwe na mifumo hata 10 - 15 ambayo itajulikana na kila mtu kwa ajili ya ukataji tiketi. atleast kidogo kutakuwa na ushindani wa kibiashara.
  13. Kumbukumbu zinatuambiwa monopoly system siku zote huwa zinashindwa, rejea VTS ya Sumatra mpaka umeshtakiwa kwa Rais, UDART na ticket zao, TCU na mfumo wao mmoja ( Mpaka JPM akaamua kila chuo kiwe na mfumo wake ), BIMA mfumo wao kila siku unapiga chini, nshawahi kukaa hospital bila kutibiwa more than 10 hours sababu mfumo wa BIMA ulikuwa haufanyi kazi.

Ningeomba serikali ya mzee wetu iliangalie tena swali hili kwa jicho lingine, wadau tunafurahi huduma kuboreshwa, lakini zisifanywe kwa kukandamiza biashara za watu, au kwa dhumuni la kupotezea watu ajira, wadau wote washirikishwe na faida na hasara ya pande zote mbili ziangaliwe kabla ya kuanza rasmi kwa ukataji ticket kwa njia ya mtandao.

Sumatra haikutakiwa kuwa na mfumo wa mabasi, bali kusimamia kila kampuni ya basi kuwa na mfumo wa mabasi unaokidhi vinavyohitajika na TRA .!

View attachment 1132897

hata ndenge wanafanya hivyo na kuna siku nilikuwa na bishana na kijeba kimoja kuhusu hili swala maana hadi vibaka wanajifanya agent kumbe ni wezi
 
Kwenye ndege wanafanyaje mkuu.?
Navyojua mimi kampuni za ndege zina mifumo na ATCL wana mfumo wao.? na ndo maana kuna mawakala, hii inasaidia kutoa fursa za watu kujitengenezea ajira
 
Siogopi, bali najaribu kuangalia kama busara na maarifa yametumika kuwa na mfumo Monopoly badala ya kuachia fursa na wao kusamamia sheria kama jinsi wanavyotakiwa kufanya
Watanzania mbona ni wagumu kuelewa? Kama ulishawahi kufanya biashara yoyote ambayo inatoa resit ya EFD ni kama hiyo biashara ya mabasi, hakuna jambo jipya hapo, wenye mabasi hawana tofauti na wafanyabiashara wa Spare, Maduka ya redio, Maduka ya Simu, Pumbling n,k. Mambo ni yale yale EFD inatuma taarifa kama wafanyabiashara wengine wanavyofanya
 
Hujaelewa hoja yangu au umejitoa ufahamu..?
 
Tuache kutegana. Hebu uliza swali mkuu tusaidiane kueleweshana
Hoja ni kwamba kusiwe na mfumo Monopoly, bali serikali iruhusu wamiliki wawe na mifumo yao na walazimishe mifumo kuunganishwa na TRA kwa ajili ya reset za EFD.!

Hi itatengeneza fursa na kuendeleza ushindani wa kibiashara
 
Back
Top Bottom