Morogoro: Mwanajeshi auawa na vibaka kisha kuporwa Pikipiki

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Aliyeuawa ni Leonard Lihumba(52) Askari wa Jeshi la Wananchi(JWTZ), katika tukio hilo ameporwa pikipiki aliyokuwa akitembelea

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Wilbroad Mutafungwa amesema tukio hilo lilitokea tarehe 30/May majira ya saa nne asubuhi

Maujai haya yalifanyika katika mashamba ya mkonge ya Tungi Wilaya
 
Askari wetu,wakishavaa gwanda wanapoteza kila kitu, inabidi wapigwe msasa. Kama mtakumbuka askari wa kike alitakakubakwa akauawa. Askari wa Jwtz unashindwa kuua hata mtu mmoja?

Umefundishwa mpaka kombat karate, ili iweje sasa? Unashindwa kujilinda mwenyewe, unataka watu wakuogope ukishika vyuma.

So shame aisee!
 
wanafundishwa ukakamavu na mbinu za vita,hawafundishwi mapigano,unaona miezi nane mingi!?
 
Back
Top Bottom