Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nahisi kifo ni Kama usingizi tofauti nikuwa usingizi wa kifo huamki Tena na Wala hupumui... Sidhani Kama ukifariki Kuna kinacho endelea Tena baada ya kufariki. Alaf pia sidhani Kama Kuna mtoaji...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari za mida wakuu! Ni matumaini yang mko vema kiafya. katika harakati za kutafuta maisha kwny jamii zetu tulio wengi tumewah kupitia, tunapitia na wengne tunatarajia kupitia maisha ya geto...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Jumuia ya wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu tanzania(TAHLISO), inasikitika kuona zaidi ya wanafunzi 28,037 wamekosa mikopo ya elimu ya juu kitu kinachohatarisha uwezekano wa watoto hawa wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Aman itamalaki wakuu Hili ni tukio ambalo limetokea Mwanza baada ya jamaa mmoja jina Fungo Mayala kujichoma na moto baada ya kumuua mpenzi wake kwa kumkata kata mapanga Tukio hilo lilitokea...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Afya ya wakazi wa jiji la Dar es salaam ipo hatarini kufuatia mtindo uliozuka na wapishi wa supu ya utumbo unaotumia dawa ya kutuliza maumivu ya panado, kilevi cha konyagi pamoja na maziwa kupikia...
2 Reactions
49 Replies
12K Views
Leo nianze kwa salaam iliyoanza kusahaulika humu ndani, Igweeeeeeeeeeerre!!! This is grand weekend, Mambo ni mengi ila naomba mpumzike responsibly. By background ni mtu niliekulia kwenye moja...
5 Reactions
79 Replies
5K Views
When an economic hit man confesses...
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Mazingira ni balaa!! Moshi kila mahali- Kwenye Zahanati na Shule ya Secondary na kwa majirani. Maganda yanatupwa chini kinyume na taratibu. NEMC na Halmashauri ya KIBAHA okoeni jahazi haraka
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiukweli humshale nimeamua kuachia tu umpate yoyote maybe utapungua ugonjwa huu kwawadada Ivi huwa tunaonekanaje ss wanaume kwawadada hasa pale anapo kugundua kua unampenda Now days wadada...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
MKURUGENZI wa Jiji la Dar es Salaam, Sipora Liana, amesema ujenzi wa stendi mpya ya kisasa ya mabasi umekwama kutokana na Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kuwa kubwa. Amesema hali hiyo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
WATU wenye unene uliozidi nchini sasa wana fursa ya kuwa na furaha baada ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kuanza kufanya upasuaji wa kupunguza unene. Upasuaji wa aina hii ni wa kupunguza unene...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Karibuni sana. Pia tamasha liko live kupitia Upendo tv!
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Mh https://mobile.mwanaspoti.co.tz/soka/Arusha-United-yauzwa-kwa-Mnyeti-aiita-Gwambina-FC-/2481686-5138042-format-xhtml-i2ikexz/index.html
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Naomba wenye kujua mnisaidie maana ya upatu??na juzi juzi nimesikia serikali ikikataza upatu ndo upoje huu upatu wanafanyaje??lakini pia nijue utofauti wa upatu na vicoba??maana naona sheria mpya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
The way you perceive time is wrong. We live in an "ever- changing now". Time, as a line we travel along.Is simply a mathematical that helps as to understand a world.All of existence is contained...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari. Niseme tu kwamba mimi sio mtaalamu wa mambo ya afya lakini mpaka nafikia kuandika haya ni kutokana na niliyoyashuhudia hivi karibuni. Baada ya kuona baadhi ya watu wanaokufa kwa kutokana...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam wakuu!!! Nimeangalia salary slip ya mwezi wa 4 na mwezi wa 5 deni liko pale pale wakati bodi tayari wameshakata!!! Pesa kifupi ni kwamba balance iliyopo ya mwezi wa nne na mwezi wa tano...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nike nafikili timu za simba na yanga zinashindwa Kuwa na viwanja vya mazoezi kwa kuwa kujenga kiwanja inaitajika pesa ndefu sana kumbe hapana bwana. Nihivi leo kule misungwi mwanza timu iliyokuwa...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Ni mara ya pili namuona huyu mdudu, kwa wenye ufahamu ni aina gani
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kwa yeyote anaejua njia za kupita/ au cha kufanya kupata nafas njee ya Africa naomba anielekeze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom