Je, wajua mayai yana umuhimi kwa mtoto mwenye umri kuanzia miezi 6 na kuendelea?

Shamba eggs

Member
Feb 13, 2019
12
45
Nikweli kwamba watu wengi wamekua na hoja na mawazo tofauti kuhusiana na mayai mkanganyiko huu umekua mkubwa snaa wengi wanauliza kwamba je ni mayai yapi sahihi kitumia either ya kienyeji au yakisasa nikujuze kwamba kunautofauti mkubwa snaa kati ya mayai ya kienyeji na kisasa lakini pia skuizi kumeendelea kua na uchakachuzi mkubwa snaa kuhusu mayai kwan mayai skuizi yote yakienyeji na kisasa yanaweza kua ni sawaa tu

Kwani Kumekua na uchakachuzi mkubwaa mno lakini nikuabarishe tu kwamba kuna faida kubwa sna katika mayai kwa mtoto kwanzia mtoto wa miezi 6 na kuendelea ..

wataalamu wanashauri kwamba kula mayai sio tatizo na wala Haileti madhara yoyote yale lakin inategemea na aina ya myai wanashauri mayai ya kienyeji sana snaa yaliochemshwaaa vizuri sasa basi nikwambie tu mayai yana msaada sna katika kuongeza kimo chatoto mdogo pia inasaidia mtoto kuwa na nywele imara zenye afya pamoja na kuimarika kwa kucha za mtoto , vile vile mayai yanasaidiaa kupunguza ugonjwa wa kiarusi na pia ugonjwa wa moyo, napia mayai husaidia Kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri hivyo nakushauri mpendwaa tumia mayai bora ya kienyeji kwa afya yako pamoja na familia yako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom