Familia ya CHADEMA mko wapi? Mwanakotide anaumwa

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Na.
Bollen Ngetti

CHADEMA utu wenu uko wapi? Mbona utambulisho wenu ni ushirikiano wakati wa shida lakini mmemkimbia Fulegence Mapunda "Mwanakotide" kwenye shida? Kwa nini Kotide anaugua peke yake bila kuona familia ya Chadema.

Kotide amelazwa St Monica Hospital Manzese yapata wiki mbili ambapo inadaiwa amekuwa-poisoned na wasiojulikana. Kotide anaumia, Kotide hawezi Kula, Kotide hawezi kulala, Kotide analia kwa maumivu. Kotide anamuona mkewe tu pembeni katika mtihani huu. Chadema iko wapi utu wenu?

Kotide ni Mkuu wa Idara ya Propaganda na Hamasa wa Chadema, amekuwa mjumbe wa Kamati Kuu. Kotide ndiye mwimbaji na mtunzi wa nyimbo zote za Chadema. Leo chuma kimelala. Mbowe haonekani, Mashinji kimya. Kotide amekosea nini Chadema hadi kutelekezwa namna hii? Yani wana CCM ndio tunamjulia hali kada wa Chadema? Utu wenu uko wapi?

Kotide tunakuombea kwa Mola Mungu akufanyie wepesi upone kama Tundu Lissu!
#AchaWoga2020
 
Of all the people, Mashinji sijui kazi Yake Kama GS wa Chama kikuu Cha Upinzani Nchini! Hilo la Kotide sii la kufumbia macho, Ni vema Chama kikawaheshimu Wanachama wake kwa michango yao katika kukijenga Chama. Naamini, M/kiti, N/Katibu Mkuu Bara, pamoja na tight schedule Bungeni, mtafuatilia suala la Kotide!
 
CCM wameanza kutumia sumu sasa watatumaliza
Kwanini uwadhanie hao na kwanini dhana yako usiipeleke kwa waliomtenga? Kwa Maelezo ya mleta taarifa huyo kada si mtu mdogo eti augue muda wote huo chama kisijue tena yupo Dar? Mie napata mashaka na wenzake waliomtenga
 
CCM mnamnywesha sumu halafu mnamuombea apone? Unafiki ulioje!!!

Back
Top Bottom