Imezoeleka kwenye jamii zetu kwamba mfano baba, mama au rafiki yako akiwa hana maelewano na mtu Fulani basi hutaka hata watu wake wa karibu wasiwe na ukaribu pia na mtu huyo ambaye hana maelewano...
Maadhimisho haya kitaifa yatafanyika jijini Tanga siku ya ya Jumatano tarehe 26 mwezi Juni mwaka 2019 katika viwanja vya Tangamano.
Kauli mbiu ya mwaka huu inasema "Waathirika wa Dawa za Kulevya...
Tangu enzi za mababu zetu haikuwahi kutokea mwanaume kuwa na mke1.
Ukiona mwanaume ana mke1 tu bila mchepuko huyo anamatatizo sio mzima
1.Hana pesa 15%
2. Anashida ya kiume.85%
Na kikawaida hata...
Watumishi saba wa Malmaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), wanashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, kwa tuhuma za kukutwa na vitambulisho vya Taifa vipatavyo 15,000.
Mbali ya vitambulisho...
Naendelea na research ya mambo ya kijamii.
Wanaume wa kusini wanaotokea mtwara/lindi ni wepesi kuoa ila wepesi kutoa talaka na km wameacha mtoto uwa hawakai nae anabaki kwa mama/bibi.
Utafiti...
Salaam wanabodi!
Naomba Mods msiunganishe uzi. Wakuu mimi ni mdau wa RFA kwa zile saa ambazo hua wanajiunga na BBC na DW, sasa leo ni siku ya tatu kama sikosei siwapati hewani,
Mwanzoni...
Nmetoka home asubuhi nawahi town maana nina kikao na wadau saa mbili na nusu New Africa Hotel. Nikaona kwa kuwa ni kikao cha watu wazito ngoja nichukue tu Benz.
Actually nliona taa inawaka kuwa...
Wakuu habari ya asubuhi,
Kwa Wale Wenyeji Wa Jiji La Dar Na Wanaopita Barabara Ya Morogoro Watakuwa Wanashuhudia Vijana Wengi Kiasi Wakifanya Mazoezi Ya Viungo Wengine Kama Wanapigana Ngumi Hasa...
Wadau kwakuwa wengi wetu huwa hatuna namna ya kufikisha ujumbe kwa wakubwa basi Jamii forum imekuwa msaada wetu mkubwa sana.
Stendi mpya ya Kigoma ipo eneo la Masanga mji wa Mwanga. Eneo hili...
Mi mhanga wa simu kutumbukia majini na kizimika. Nimeipeleka kwa fundi hapa ninapoishi imepona baadhi ya mambo ila internet speed imekuwa extremely low na pia nikiunganisha kwenye pc kwa USB...
Habari wadau,mie nimsikilizaji mzuri wa radio zenye usikivu mzuri na vipindi bora,sasa takribani wiki tatu radio za ipp nilizotaja hapo juu sizipati hapa mbeya kulikoni? Wahusika natumai wako humu...
Aisee mtaani Ni pakavu asikwambie mtu yaani unaweza ukajihisi una shida ya umaskini lakini ukakutana na mtu mtaani anakwambia borea yako hata wewe una simu ya kupangusa pangusa inakutolea mawazo...
Wakubwa shikamoni masela wenzangu mambo zenu, moja kwa moja naenda Kwenye mada leo asubuhi nilipokuwa katika mizunguko ya hapa na pale katika mkoa huu Rukwa,asubuhi ya leo nikitokea katika...
Naomba kuuliza hivi Dawasco wananufaika vipi mabomba ya maji kupasuka na kumwaga maji bila kufanyiwa marekebisho.
Kuna bomba njia ya Mbezi mpiji magoe limepasuka zaidi ya miezi miwili lakini...
MATARAJIO YANGU MAPYA/MY NEW GOALS.
1. Kuanzisha Dini Mpya Duniani itakayoitwa ''DINI YA UZALENDO'' (PATRIOTIZM RELIGION) na itakuwa Dini ya Serikali.
/ To introduce new Religion and will be...
Maneno yenyewe ni kama haya machache ambayo nayanukuu hapa chini…
“ Hata wakinichukia Mwenyezi Mungu ananipenda na anajua Kusudi langu “
“ Watahangaika sana kujua napata wapi hizi Pesa na huu...
Niaje mazee... Wenye magari yenu mtuache kwanza..
Hebu tuambizane jamani ni jamho gani kubwa huwa linakukera ama kukufurhisha unapokuwa kwenye daladala?
Mie binafsi nakerwa na..
kusimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.