BRAC - Tanzania, Tunadai leave salary lakini mhasibu anatupiga danadana

Last Bitter

Member
Dec 23, 2016
17
4
Tunadai leave salary lakini mhasibu anatupiga danadana sasa hatumhelewi,tulitakiwa kulipwa mwezi january angalau tareh 5 lakini ataki kulipa anasema mwezi wa pili ndio atatulipa,anatunyanya waswahili kama nchi yao.this not fair untorelated.
 
Sasa nani mswahili kati yako na unaowalaumu!?
Mhasibu ni mtu wa chini, umemuona meneja au mkurugenzi ikashindikana kabla ya kuja kutoa siri za ofisi hapa jf!?
 
Tulienda kwa chief lakini akasema yeye ajaletewa karatasi ya kusigh kuhusu leave salary zetu,mhasibu akaitwa kueleza kwanini hatujaripwa akajibu atalipa mwezi febr
kinyume na ratiba,tunaingia mikataba mipya,amalize malipo ya mwaka jana,watu pesa zimeisha kwenye sikukuu tumefuria mbaya.
 
Tunadai leave salary lakini mhasibu anatupiga danadana sasa hatumhelewi,tulitakiwa kulipwa mwezi january angalau tareh 5 lakini ataki kulipa anasema mwezi wa pili ndio atatulipa,anatunyanya waswahili kama nchi yao.this not fair untorelated.
Wewe acha utoto, hayo ni mambo ya ofisini, kwa nini unayaleta jf wewe? Wewe inaonekana huenda ni CO tu mkusanya marejesho. Ushauri wangu nenda jifunze kuwa na Subra itakusaidia sana. BRAC tunawajua hawalagi cha mtu. Km vp sema upo Branch gani nikusaidie. Km Huwezi kusema upo wapi, ongea na Area Manager, ikishindkana ongea na Area accountant wako, ikishindkana andika tuma malalamiko yako kwa County Representative, km huna e mail yake ntakusaidia. Wasalimie wote co's, Po, Monitors wote.
 
BRAC MKOA GANI MBONA KAMA HUJAKAMILISHA TAARIFA YAKO?
 
Tunadai leave salary lakini mhasibu anatupiga danadana sasa hatumhelewi,tulitakiwa kulipwa mwezi january angalau tareh 5 lakini ataki kulipa anasema
mwezi wa pili ndio
atatulipa,anatunyanya
waswahili kama nchi yao.this not fair untorelated.

Kwanza nyie Brac kuna wahindi kibao hawana working permits hiyo Brac Mkoa gani?
 
Wewe acha utoto, hayo ni mambo ya ofisini, kwa nini unayaleta jf wewe? Wewe inaonekana huenda ni CO tu mkusanya marejesho. Ushauri wangu nenda jifunze kuwa na Subra itakusaidia sana. BRAC tunawajua hawalagi cha mtu. Km vp sema upo Branch gani nikusaidie. Km Huwezi kusema upo wapi, ongea na Area Manager, ikishindkana ongea na Area accountant wako, ikishindkana andika tuma malalamiko yako kwa County Representative, km huna e mail yake ntakusaidia. Wasalimie wote co's, Po, Monitors wote.

Ww utakua staff wa brac au ulipita hapo maana unajua utaratibu balaa
 
Back
Top Bottom