Tukitaka Tanzania iendelee kimichezo na kiuchumi, tuvitumie vyombo vya habari vyote kuhamasisha jambo tunalotaka la uchumi na michezo.

kufanakupona

JF-Expert Member
Jun 18, 2015
522
417
Habari wanaJF wote.
Tanzania tumekuwa tukihangaika sana tutumie njia gani kuharakisha kasi ya maendeleo ya uchumi na michezo. Njia zote tulizotumia zimeshindwa, angalia hali halisi ya uchumi na michezo.
Kutokana na nguvu ya vyombo vya habari kusambaa nchi nzima kila kijiji, kusikilizwa na kila mtu, mtoto kwa mkubwa, mwenye uwezo na asiye na uwezo, aliyeelimika na asiyeelimika, tukivitumia vyombo kama tulivyovitumia kwenye shughuli za misiba, mifuko ya plastiki, usafi kila jumamosi, tutafika mbali sana, kwa kuitangazia nchi kupitia kila chombo cha habari kila mwananchi afanye jambo kadha wa kadha kwa maendeleo na fahari ya nchi yake.
TANZANIA YANGU, TANZANIA YAKO, TANZANIA YETU.
 
Back
Top Bottom