Kutumia Contact lenses kama mbadala wa miwani

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
4,018
4,907
Heshima kwenu wanajukwaa..!
Ni muda mrefu sana nimekua nikitumia miwani ya macho...
Kwasasa ninafikiria kuanza kutumia contact lenses,kwasababu matumizi ya miwani kuna wakati yananipa changamoto za utendaji katika mihangaiko yangu ya hapa na pale...
Ni wapi ninaweza kupata huduma ya contact lenses kwa mkoa wa Dar es Salaam..?
Hapa namaanisha mtaalamu ambaye atanifanyia vipimo ili kujua ni contact lenses za namna gani napaswa kutumia na mahali ambapo naweza kuzipata hizo contact lenses..!
Pia ni vyema nikafahamu na gharama zake..!
Natanguliza shukurani..!!!
 
Mkuu kwanini usifanye LASIK surgery kabisa ukaondokana na matumizi ya miwani na contact lenses maana sometimes zinakua sio comfortable
 
Hiyo LASIK surgery ndio surgery ya namna gani chief..?
Gharama zake zikoje..?
Risk yake ikoje,haiwezi kumsababishia mtu upofu kabisa..?
 
Nadhani ni kama 1.7m na ni laser surgery inakurudishia uwezo wa kuona kama mtoto wa miaka 8 vile so far hamna aliyeishalalamika side effects zozote sema siku 3 za mwanzo hadi wiki unaweza kuwa wasumbuliwa na kuona blur kwa Dar international eye hospital wanafanya
 
mm pia ningependa kufahamu kama kuna solution ya milele kwa mtu mwenye night blindness
ama mbadala wake ni nini angalau hata nuru during darkness moment
 
Nadhani ni kama 1.7m na ni laser surgery inakurudishia uwezo wa kuona kama mtoto wa miaka 8 vile so far hamna aliyeishalalamika side effects zozote sema siku 3 za mwanzo hadi wiki unaweza kuwa wasumbuliwa na kuona blur kwa Dar international eye hospital wanafanya
Kwa hiyo gharama inahitaji kujipanga kidogo..!
 
Heshima kwenu wanajukwaa..!
Ni muda mrefu sana nimekua nikitumia miwani ya macho...
Kwasasa ninafikiria kuanza kutumia contact lenses,kwasababu matumizi ya miwani kuna wakati yananipa changamoto za utendaji katika mihangaiko yangu ya hapa na pale...
Ni wapi ninaweza kupata huduma ya contact lenses kwa mkoa wa Dar es Salaam..?
Hapa namaanisha mtaalamu ambaye atanifanyia vipimo ili kujua ni contact lenses za namna gani napaswa kutumia na mahali ambapo naweza kuzipata hizo contact lenses..!
Pia ni vyema nikafahamu na gharama zake..!
Natanguliza shukurani..!!!
Kuna jamaa wako pale Victoria (Dar) niliwahi kusikia tangazo lap redioni kua wanafanya Operation ya macho unakua unaweza kuona kabisa bila miwani. Sina uhakika na huduma zao wala bei yao, pengine ukienda hapo utaambiwa.

Hata jina lao sikulishika pia.
 
Heshima kwenu wanajukwaa..!
Ni muda mrefu sana nimekua nikitumia miwani ya macho...
Kwasasa ninafikiria kuanza kutumia contact lenses,kwasababu matumizi ya miwani kuna wakati yananipa changamoto za utendaji katika mihangaiko yangu ya hapa na pale...
Ni wapi ninaweza kupata huduma ya contact lenses kwa mkoa wa Dar es Salaam..?
Hapa namaanisha mtaalamu ambaye atanifanyia vipimo ili kujua ni contact lenses za namna gani napaswa kutumia na mahali ambapo naweza kuzipata hizo contact lenses..!
Pia ni vyema nikafahamu na gharama zake..!
Natanguliza shukurani..!!!
Usitumie contact lenses utaharibu macho mimi pia ninatumia miwani nina mwaka wa 15 sasa
 
Back
Top Bottom