No.1: Unahumuhusu mzee mmoja msomi na mwalimu wa chuo kikuu. Degree yake ya pili na ya tatu alisomea Uingereza kisha akarudi bongo. Watoto wake alikuwa anawalea kizungu sana. Infact mmoja kati ya...
Aisee wadada wenye Magari wanazingua sanaa kwani lazima mkiwa mnadrive mpandishe sketi juu mpaka mapaja yaonekane waziwazi??? Yani mnakera sana kukaa uchi hata kama magari ni yenu lakini muwe...
Nilimaliza form six 2007, nikapata Dv II point 10 (HKL) Nina Bachelor ya Education. Natamani kusoma Law . Je Kwa mfumo wa vyuo naweza kudahiliwa mwaka huu kusoma Degree ya Sheria ?
Amepata Mimba, Aliyempa Mimba Kamkimbia Japo Alimuahidi Kumuoa,Hana Pesa, Hana Kazi Jamaa Kamharibia Malengo Na Mipango Yake Ya Baade! Kuna Watu Wanapitia Mambo Magumu Sana Hii Dunia.
Radio Jambo Makao ya michezo na Burudani,hii Radio kwa upande wa Afrika mashariki pia Afrika nzima inaweza isiwe na Mpinzani kwa habari za michezo.
Hata michezo ya mpira wa miguu ipigwe saa saba...
Huenda imeshasemwa humu ama nje ya hapa ila kwa kuwa kuna kusahau labda na mimi niseme tena ama nikumbushie..
Najua una mizuka sana ya kwenda chuo huku ukisali kupata matokeo mazuri kwenye...
Mimi ningemshauri Mwanangu wa kiume asioe! Maana nimejifunza kuwa NDOA nyingi zimetawaliwa na Mateso, utumwa, Lack of Freedom, kero, nk maana wanawake wa siku hizi wamekuwa wababe na...
Mimi mtumiaji wa kisimbuzi cha star times toka Jana startv hatuwapati kwenye dish jee wenzangu mnawapata wenye visimbuzi vingine? Au kwangu kuna shida karibuni wadau.
Binafsi huwa napenda kwa siku nisikose muda wa kuangalia kinachojiri duniani. So huwa jioni nikirudi toka job, nikaoga,nikanywa juice au maziwa nakaa sebuleni naangalia al jazeera,bbc,dw,rt,voa...
Tupeane changamoto tunazopitia katika safari yenu na mikakati Zaid ili mwisho tufanikiwe kwenda mbinguni na kubwa Zaid Mungu atupe hiyo zawadi kubwa kabisa aliyoahidiwa mtu.
Kama ilivyo kawaida yetu kwa wanao fatilia bandiko letu huwa tuna jihusisha na uuzaj wa bidhaa za Electronics.
Juzi majira ya saa 4 asubuhi tulipokea oda ya mteja alie hitaji Tv na ya Tcl smart...
Wiki iliyopita nilikuwa nanyi kwenye gari lenu T .... DDB. Kwa bahati mbaya likatuharibikia melela KM 39 toka Moro. Katika kupiga stori abiria waliiponda sana kampuni yenu kuwa magari ni mabovu...
Kumekuwa na tatizo la kukatika sana kwa umeme mkoa wa Geita hasa vijijini sijui kwa nini
Waziri anadai wanataka umeme wa uhakika lakini watendaji wa TANESCO wamekuwa wazembe kweli, mfano unalipia...
Kijana alianza vizuri lakini kwa sasa ameanza kuyumba, na endapo akitokea mtu mwingine au media nyingine nzuri anaweza akapotezwa
Millard kwa sasa ameanza mambo ya ubaguzi kwenye media yake...
Hatimaye Hoteli ya Kitalii ya Snowcrest,iliyopo eneo la Ngulelo jijini Arusha, imefilisiwa rasimi mara baada ya kushindwa kujiendesha kutokana na madeni mbalimbali makubwa inayodaiwa na taasisi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.