benny gilbert
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 110
- 65
Habari wadau, kuna shindano la kushindana kukaanga chips mayai ambalo litaanza kwa dar na viunga vyake kwa lengo la kutafuta mtaji wa biashara kwa wafanya biashara wadogo wanaotaka kuanzisha biashara ila hawana mtaji wa biashara.
Jinsi ya kushiriki ni:
1. Kila mshiriki anatakiwa toa ada ya sh 17500, ili kujiunga kwenye mashindano.
2. Mshindi ni mmoja tu, ambaye atakaanga chips mayai tofauti na wenzake.
3. Tuna tarajia kushindanisha washiriki 50 au 100.
4. Mshindi anatapa kati ya 500,000/= au 1,000,000/=. Hii inatokana na idadi ya washiriki.
kwa maelezo zaidi unaweza tembelea page yetu ya facebook kwa jina la "Chips Mayai Festival"
Kama una maoni na ushauri wa kujenga karibu.