Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dirisha la MIKOPO KWA WANAFUNZI WANAOTAKA KUSOMA ELIMU YA JUU IMEFUNGULIWA RASMI LEO. Swali kuu ni hili kwa wanaofahamu utaratibu Baada ya kulipia wanakwambia subiri dakika mbili then reload...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna clip nimeiona nimeshindwa kuelewa vizuri japo nimeelewa kiasi .Nimeona jeshi LA polisi kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Akihutubia na kuuchangamsha mkitano wa CCm.sasa lini siasa zikaendeshwa...
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Binafsi naomba nisiwe mnafik kabisa kufeli kw timu ya taifa, Taifa stars wa kulaumiwa ni Uganda. Nina sababu ya kusema hivyo hasa nikiwa nipo nafuarilia mechi ya Uganda na Egypt. Kifupi tu ni kuwa...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Binafsi naomba nisiwe mnafik kabisa kufeli kw timu ya taifa, Taifa stars wa kulaumiwa ni Uganda. Nina sababu ya kusema hivyo hasa nikiwa nipo nafuarilia mechi ya Uganda na Egypt. Kifupi tu ni kuwa...
1 Reactions
1 Replies
590 Views
Nianze na mistari kadhaa iliyopo kwenye wimbo wa Lucky Dube Crazy World ".......In this crazy world People dying like flies everyday You read about it in the news but you don't believe it You'll...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari za hapa na pale wanajukwaa!? Kwa muda mrefu sana nilikuwa nasubiri nafasi za kujiunga na JKT kwa kujitolea. Hatimaye mwezi huu nafasi zikatangazwa,kwa bahati mbaya nafasi zimetangazwa...
21 Reactions
70 Replies
17K Views
Awali ya yote naomba maoni yenu juu ya Toyota harrier G240 hili gari nimekuwa nikilifatilia kwa ukaribu kupitia mitandao ya kijamii YouTube IG Nimevutiwa nalo soon nahitaji kuingia shows room...
3 Reactions
59 Replies
9K Views
Wakuu humu kwenye hii dunia ni full maraha tu km Una ma stress yanapitaga yenyewe. Ni kuhama majukwaa tu jukwaa moja likikuchosha unaamia jingine na mambo yote humu humu yanaisha. Ghafla unakuta...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Yesu kristo, mmoja ya watu wenye busara kabisa kuwahi kuikanyaga na kuishi kwenye dunia yetu alipendelea sana kuwaasa wafuasi wake wawe na busara na watumie akili zaidi, kitu ambacho hakuna...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Yaani ni dhahiri kabisa wapi tunakwama..
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Ukweli pengo la Ruge bado linajionesha hasa kwenye maudhui hawa jamaa wamebaki wanajiendea kama gari bovu. Enzi Za Ruge clouds 360 iliwika sana hadi mimi wakawa wananichukulia muda wangu...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Ni muda kidogo nilikuwa sijafika Dar ambapo jana nimefanikiwa kufika baada ya miaka kadhaa nimekuta mambo yamechange sana kulinganisha na miaka ya nyuma. Hata ile ubungo iliyokua na folen...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika mimea iliyo barikiwa na Mwenyezi Mungu basi Marihuana unaweza kuwa namba moja. Baadhi ya faida zake: 1. Unatibu magonjwa yote. I mean magonjwa yote.Dont ask a stupid question like "...
15 Reactions
37 Replies
3K Views
Baadhi ya mabalozi wa Marekani wamekuwa wakitafuta njia za ubunifu za kuonyesha uungaji mkono wao kwa watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja LGBTQ pamoja na mwezi wa kujivunia walivyo-Pride month...
3 Reactions
355 Replies
58K Views
Mirerani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi letu imara kabisa sasa kila kukicha madini yanakamatwa nje ya ukuta tatizo lipo wapi? Wanajeshi wanahusika katika hilo au wachimbaji wanawazindi...
3 Reactions
53 Replies
6K Views
1- huwezi kukataa kupanda mwendo kasi mbez kisa hakuna siti, then unasimama kusubir gari jengine zsidi ya dk 15 na kuendelea.. 2. Unatumia smartphone then unashindwa kusave namba kwenye google...
12 Reactions
49 Replies
4K Views
1. Kuna vyakula vya kila aina vingi na ni bei rahisi kwasababu serikali ina control bei za bidhaa huwezi kukuta mtu anajipangia bei ovyo ovyo. Kuna vyakula vya kila namna mfano ukinunua mkate...
33 Reactions
107 Replies
17K Views
Agustino Moshi (70), mfungwa aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa ubakaji, amejiua kwa kujikata mshipa wa fahamu kwa kutumia wembe akiwa ndani ya Gereza la Karanga mkoani...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu km heading inavyojieleza kampuni ya mwananchi ivi karibuni itaanzisha huduma ya usafirishaji wa vifurushi kwenda mikoani .km mnavyojua hii huduma ilikuwa inahitajika mno, especially kwa...
6 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom