Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna kauli zimekuwa zikitolewa humu juu ya umiliki gesi asili kiasi inakatisha kabisa tamaa. Mtu akitoa wazo la namna serikali inavyoweza kuitumia gesi hiyo kwa maendeleo ya taifa unaanza kuambiwa...
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Wadau wasalaam,Mimi in mwanachama wa mfuko huu,kinachoniumiza ni masharti yanayoumiza yaliyowekwa,kwamfano mtu huna wazazi umelelewa na mjomba au mtu mwingine huruhusiwi kumweka km...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
[emoji24]FUTA MACHOZI Kuwa mtu mzuri ktk dunia hii yenye wingi wa lawama na visasi ni sawa na kuwa mlinzi wa GOLI uwanjani.. Haijalishi idadi ya magoli utakayo zuia langoni pako ila mashabik wako...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
HIVI HII SERIKALI INATAKA NANI ASEME NDIO IMSIKIE KWAMBA UONGOZI HUU UNAZIDI KUIHARIBU NCHI YETU NCUZRIi? KUFUATIA SAKATA LA POLISI KUPIGA MABOMU WANAWAKE WA CHADEMA, MSIKILIZE ASKOFU MKUU...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Alama (logo) katika biashara ni kitu muhimu sana.... Na hapa hujumuisha jina pamoja na rangi... Wenzetu hufikia maamuzi ya kutumia alama jina na rangi baada ya kutafakari mambo mengi sana...
9 Reactions
90 Replies
11K Views
Kufuatia utengenezaji wa sanamu sijui ilikuwa ya jamaa gani na kukabidhiwa kwa 'mtukufu' Rais Magufuri naona wameanza kugutuka kuwa siyo sanamu/sura ya Baba wa Taifa. Pamoja na habari hii...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Mfanyabiashara wa Zanzibar aitwaye Mbawala alikutwa na manispaa akinywa pombe mwezi wa Ramadhani na kukamatwa kisha kuamriwa kuifunga biashara yake na kunyang'anywa leseni Mbawala baada ya...
16 Reactions
114 Replies
13K Views
Salaam wanaJf? kwahakika namba tumeisoma na tulio wepesi hata kuiandika tunaweza sasa, kilichobaki ni kuikariri, hakuna shaka kwamba maisha yataendelea kua magumu hasa kwa sisi twenye kipato cha...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimejaribu kwa sehemu ndogo kuangalia hali hii kwa ukaribu sana, ikiwa ni jijini Dar Es Salaam kwa eneo dogo sana. ZOOM: Uone aina ya vifungashio vinavyozagaa mtaani. Ikiwa serikali kupitia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
KWA mujibu wa gazeti LA nipashe mtoto aliyekataliwa na baba yake aibuka TOC au Tanzania one pepa matokeo kidato cha sita
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Tunajua kila mtu anapenda utajiri wa haraka lakini kuna ule utajiri unafikiria kama unamuadhibu watu na si mtu unakuwa unaogpa kwa waliokuwa wakifwatilia swala la malori yaliorudishwa mmiliki wa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kuna taarifa kwamba wafungwa na mahabusu kadhaa katika gereza la Maweni Tanga wamejeruhiwa vibaya sana au wengine kufa kutokana na kipigo kikali na cha kikatili kutoka kwa askari Magereza. Tukio...
29 Reactions
92 Replies
18K Views
Wadau,mimi ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu 2019,nimescore Div 3.14 na nina D moja,naomba kufahamishwa vyuo vya ngazi ya diploma katika fani ya FINE ARTS AND DESIGNING au...
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Aliyewahi kuwa mchezaji maarufu sana wa Baseball wa timu ya Cincinnati Reds aliwahi kuulizwa swali muhimu sana kuhusiana na mafanikio yake. Kutokana na mafanikio yake makubwa watu walitaka kujua...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwaka 1925 nchini Uingereza Mchungaji Frederick Donaldson Alioredhesha dhambi 7 mbaya zilizo katika jamii mbalimbali zilizoharibika duniani. 1.Siasa pasipo misingi/kanuni(Politics without...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Uhamisho wa kutoka sekondari kwenda msingi imeendekea kuwa kero hapa wilayani, Rugwe mwalimu anahamishwa sekondari moja na kupelekwa shule ya msingi mbali na maeneo anayoishi wakati alikohamishiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Binafsi yangu napenda sana kuangalia channel inayotangaza masuala ya utalii nchini, ni channel nzuri na ninahakika inawavutia wengi, pongezi ziwaendee waanzilishi wake. wakati ukiangalia...
1 Reactions
5 Replies
764 Views
Tanzania Automobile Technology Nikiwanda kinacho jihusisha na kutengeneza magari hususani ya kijeshi Ila leo nilikuwepo wilaya moja kongwe hapa mkoani Dodoma Nikakutana na gari aina ya Land...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, leo hii mh Rais anafungua ama kuzindua matanki mapya ya kampuni ya Mihan gas ambapo zamani ilikuwa inasemekana inamilikiwa na Mturuki na sasa inaitwa Taifa Gas ambayo imebainika...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Katika mnyama anayeongoza kwa kutajwa katika vitabu vitakatifu basi mmoja wapo ni huyu Dubu, achilia mbali Chui na Simba. Na anavyotajwa basi inaonekana ni mnyama hatari sana na ndivyo alivyo...
23 Reactions
62 Replies
12K Views
Back
Top Bottom