Kiwanda cha Nyumbu

Kiwanda cha Nyumbu

Rhz4567

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
5,391
Reaction score
7,450
Tanzania Automobile Technology

Nikiwanda kinacho jihusisha na kutengeneza magari hususani ya kijeshi
Ila leo nilikuwepo wilaya moja kongwe hapa mkoani Dodoma
Nikakutana na gari aina ya Land rover rangi ya kijani kiukweli hii gari inafanana Sana na gari zinazo tengenezwa na kiwanda cha nyumbu kinacho milikiwa na Jeshi la wananchi wa Tanzania

Swali langu jee hiki kiwanda cha nyumbu Kwa sasa kinatengeneza magari ya watu binafsi tofauti na zamani walivyo kuwa wanatengeneza magari kwaajili ya shughuli za kijeshi
 
Nyumbu nimagofu kwasasa

Machine zimeharibika

Wataalamu hakuna

Hakuna strategies wala mission

Kifupi kwasasa hivi nikama museum tu.
Nakumbuka kipindi mh rais magufuli anaomba kura alisema itafufua kiwanda cha nyumbu
Kumbe holaaa!
 
Nyumbu nimagofu kwasasa

Machine zimeharibika

Wataalamu hakuna

Hakuna strategies wala mission

Kifupi kwasasa hivi nikama museum tu.
Unaijua nyumbu? Unafany kazi pale au umewahi kuwepo? Unajua project gani zinafanywa nao?

huna unachojua.
 
Nyumbu nimagofu kwasasa

Machine zimeharibika

Wataalamu hakuna

Hakuna strategies wala mission

Kifupi kwasasa hivi nikama museum tu.
Wale wataalam waliostaafu au kuacha kazi pale nyumbu walijiunga pamoja na kuingia ubia na wachina na sasa ndio dealer wa mabasi haya ya Higis kama sikukosea spelling yake
 
Nakumbuka kipindi mh rais magufuli anaomba kura alisema itafufua kiwanda cha nyumbu
Kumbe holaaa!


Nilipita hapo kwa shughuli zangu binafsi mwezi February 2019, nilipata fursa kupitia vitengo mbalimbali, design, machining, welding, casting nk

Kifupi hakuna lamaana mkuu.

Serikali inawajibika kufufua sehemu hizi, ambazo zingekuwa chanzo kikubwa kwa ugunduzi na ukuwaji wa technology ya mtanzania.
 
Wale wataalam waliostaafu au kuacha kazi pale nyumbu walijiunga pamoja na kuingia ubia na wachina na sasa ndio dealer wa mabasi haya ya Higis kama sikukosea spelling yake

Nyumbu ilifikia tamati miaka ya 2000

Enzi za Major Mayange

Wataalam wa castings (foundry) kama mwayole walitoweka possibly wanatumika if am not mistaken RECO kwasasa
 
Back
Top Bottom