Usinunue mafuta ya vituo vya Mt Meru kama walipenda gari lako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usinunue mafuta ya vituo vya Mt Meru kama walipenda gari lako!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 6, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Tunajua kila mtu anapenda utajiri wa haraka lakini kuna ule utajiri unafikiria kama unamuadhibu watu na si mtu unakuwa unaogpa
  kwa waliokuwa wakifwatilia swala la malori yaliorudishwa mmiliki wa hii kampuni ni mmoja wa mafuta yaliorudishwa ...simjui anijui ila nasema hili kwa kuwa kati ya magari 18 ya mafuta yaliorudishwa yake ni malori 9...

  Mnaweza kujua ni jinsi gani watu wanavyowaadhibu watanzania mnawaona na ma gari ya bei ya juu kumbe wanatuchangia mafuta na afadhali sikuhizi zamani walikuwa wanachakata na maji.....kibaya zaidi shell zake zinazidi kupeta na watu wanazidi kujeruhiwa na yale mafuta yalirudishwa na sidhani kama ayajarudi kuwaangamiza watanzania.....

  Anaywa kwa dar najua yuko na shell zake pale barabara ya mandela watchout hata gari yako ikizima nenda bp ama sehemu zingine za karibu bora uamini kuna mungu kuliko kutokuamini na sikiu ya mwisho ukamkuta utajuta na itakuwa too late wanyarwanda wamewahi kazi kwetu
   
 2. m

  mndebile Senior Member

  #2
  Aug 7, 2010
  Joined: Sep 4, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu kwa taarifa
   
 3. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,897
  Likes Received: 20,996
  Trophy Points: 280
  unamaana gani??tusinunue mafuta SHELL zilizo maeneo ya mount meru.....na tusinunue mafuta SHELL zilizopo mandela road??ina maana hata kampuni kubwa kama SHELL nao wanachakachua??more info please.
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako SamsonMfalila,

  Mkuu hizi habari ni kweli kabisa wala si mara ya kwanza kuzisiakia.
  Mt Meru petroleum makao makuu yake yapo jijini Arusha,mkurugenzi wake anaitwa Atul Mital.Binafsi ni muathirika mkubwa wa mafuta ya Mt meru siku nyingi nimeacha kununua mafuta ya Mt Meru Petroleum kwasababu nafahamu mchezo mchafu unaofanywa na mmliki wa vituo karibu vyote hapa Arusha na sehemu nyingine.

  Atul ni mfanyabiashara anaechangia mabilioni ya fedha kwenye kampeni za CCM.iankuwa vigumu sana vyombo vya dola kufuatilia ufisadi wake ambao unazidi kukua mwaka hadi mwaka.Siku za karibuni amekuwa akiwaingiza wahindi kibao kutoka India kufanyakazi kwenye makampuni yake bila kufuata taratibu za ajira na uhamiaji.Kiwanda cha mafuta ya kupikia cha Sunola wapo raia wa india wasiajua hata kuongea kiingereza,unaweza kushangaa Atul anaweza kuajiri raia wa India kununua mbegu za Alizeti vijijini.
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu, naona hapo mtoa mada ametumia SHELL akiwa na maana ni kituo cha kuuzia mafuta.
  Sio yeye tu bali watanzania wengi tumezoea kutumia SHELL tukimaanisha hivyo ingawa SHELL ni kampuni nyingine ya mafuta kama ilivyo BP, GAPCO nk.
   
 6. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,897
  Likes Received: 20,996
  Trophy Points: 280
  asante mkuu.....unajua kwenye serIous allegations kama hizi inabidi lugha iwe fasaha na imenyooka....sasa hapa ni kama anatuhumu SHELL kumbe anatuhumu kituo cha kuuza mafuta ambacho hakina uhusiano wowote na SHELL.
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kichwa cha habari umekielezea vizuri sana, nimejitahidi kukuelewa asante kwa hilo....ila sasa huwa unanishangaza....hivi wewe huwa unakuwa mzima mara ghafla zinaruka?...coz hapo pa bluu ndio nimeshindwa kuelewa pamekujajekujaje katika hii habari ya mafuta.....
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Aug 7, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Samsonmfalila mtabiri wa michezo gazeti la mwanaspoti -- angalia mwendendo wako haswa haswa kwa mada kama hizi haswa kwa kuegemea habari za mitaani utashitakiwa na jf italazimishwa kutoa taarifa zako ushitakiwe na uchukuliwe hatua
   
 9. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,897
  Likes Received: 20,996
  Trophy Points: 280
  ok..
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  usinunue mafuta ya mt meru na sio sehemu ya mt meru again more info??
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  shell=kituo cha kuuzia mafuta kumradhi kwa kiswahnglish
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  shy

  sina tatiz kwa hili hata wakipiga kelele ni kuomba tu TBC Watutolee taarifa ya habari ya siku ya tukio angalia malori yaliopangana yako mangapi na yameandikwaje tujiamini mkuu samahani kama una mahusiano na mh ubungo internet awajambo lakini??
   
 13. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Duh! hii kazi sasa

  Mkuu ulienda kulog JF kwenye kijiwe chake nini akapata info zako, usiende tena bana maana hii sasa ni name calling.

  Otherwise ninakubaliana sana na wewe kwenye suala zima la consumer protection Tanzania ni zero. Nafikiri sasa hivi tuchague wabunge watakaopeleka hoja binafsi bungeni kwa masuala kama haya badala ya kusubiri Serikali ambayo ni mnufaikaji mkuu wa ufisadi huu kupitia michango inayofanywa na hawa mabaladhuri kwa CCM. Ingekuwa nchi zilizoendelea hayo malori 18 yaliyorudishwa na Rwanda mafuta yake yangekuwa yameshachukuliwa na Serikali na kuteketezwa. Unajua Mkapa japo naye alikuwa na ufisadi wake lakini kuna wakati alikuwa na guts za kulinda walaji japo huenda yule aliyechomewa ngano yake alikuwa hachangii CCM
   
Loading...